Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

Kapteni Chidi Boy washa chombo hichooooooo

Aaaa bitibitibitibitibitiiiiii......nyamazisha....faza Mauji...charaza charaza baba....

Hawaaana hawana la kusema hawana
Eti wamebakia vijembe jamani la kusema hawana

Sema na nguruma nguruma nguruma
Mfalme la kusema hawana....
 
haaa haa haa haa! Mkuu nyani ngabu umenifurahisha sana sana mkuu!
 
mkuu kuna jimama limemwaga radhi kwa kucheza taarabu ya ukweli hapa kitaani, kiasi katuacho watu wote mdomo wazi. Kweli wanawake vibonge wanavituko!
 
kijokaa wee kijokaaa, kijoka anazima taaa,
kijoka anazima taaa,siwezi kukataaa,.,.....
 
Dida mtoto wa kishua halowi hata kwenye mvuaaa,,Dida wachomee, wachomee wachomeke babu!!
 
kama kawaida wakuu huku mtaani barabara ya mtaa imefungwa kuna taarabu inachezwa!
 
hapo tupo wengi mtu mzima,
ratiba zote za jahazi na East African Melody zipo hapa!!!!!!!

Raha ya taarabu ipo wapi jamaaniiii? mi naona watu wanacheza cheza tu.. wanawake mabonge ndio zao!
 
Weekend iliyopita ilikuwa ni balaaa, weekend hii nitakuwa traveltine!
 
taarabu ni mziki wa kutikisa nyama za ziada walizojaliwa na Muumba kv makali (kanga moja ndembendembe la kisipesa)...ss hao vimbambau watatingisha nini???
 
Asha wewe huupendi huu mziki wa mwambao?
lol..itanibidi nipate kazi ya ziada ya kukupeleka kwenye hiyo miziki,
najua utaipenda one day!!!!

kweli maana hata mimi nilifundishwa na jimama jimoja hivi.

si wanaume magumegume
 
taarabu ni mziki wa kutikisa nyama za ziada walizojaliwa na Muumba kv makali (kanga moja ndembendembe la kisipesa)...ss hao vimbambau watatingisha nini???

wtingishe tu hata mifupa
 
Hahahaha ukienda zenji wanawake wengi wa kule wamejaa kifua ila makalio hawana kama ya wachina wakiwa wanacheza tarabu mbona aibu
Hata mama la taarabu ! Aisha mashauzi naye amejaa kifua! Yeye wakianza kuchezea wowo! Anachezesha kifua!boobs zinachezeshwa mpaka utafurahi.
 
Back
Top Bottom