Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,970
Umeona eeeeeee kinandaaaaaaaa abduli thabitiiiiNeyi neyi babu jiiiii,
tumwa tumwogele ...................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeeeeee kinandaaaaaaaa abduli thabitiiiiNeyi neyi babu jiiiii,
tumwa tumwogele ...................
Haya suuzika na roho yako.
YouTube - ‪Shakila and Rajab Suleiman Qanun Trio - Tanzania taarab‬‏
Kwani raha ya taarab ni mauno?Duh!! sijaona Mauno bulaza weka nyingine yenye mauno!! Siku hz taarabu VIUNO
Weekend iliyopita ilikuwa ni balaaa, weekend hii nitakuwa traveltine!
Asha wewe huupendi huu mziki wa mwambao?
lol..itanibidi nipate kazi ya ziada ya kukupeleka kwenye hiyo miziki,
najua utaipenda one day!!!!
taarabu ni mziki wa kutikisa nyama za ziada walizojaliwa na Muumba kv makali (kanga moja ndembendembe la kisipesa)...ss hao vimbambau watatingisha nini???
Kwani raha ya taarab ni mauno?
Hata mama la taarabu ! Aisha mashauzi naye amejaa kifua! Yeye wakianza kuchezea wowo! Anachezesha kifua!boobs zinachezeshwa mpaka utafurahi.Hahahaha ukienda zenji wanawake wengi wa kule wamejaa kifua ila makalio hawana kama ya wachina wakiwa wanacheza tarabu mbona aibu