Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Umechelewa Sana kubaleheVibonge ziii!
Hawa vibonge kisa vibration na miujazo wanajibutua huko road ila wakiingia parking hawana vibe Lolote. Namliza mtu weekend hii anakula mlenda hadi kero uvinza kajaa uji kila dakika chumvini huwezi kuzama na ukaibuka.
Tuwe makini wala mlenda wana makusudi.
Naendelea kumshawishi nifike kituo cha mwisho wa lami.
Tuwapiganie Wafamasia hadi mwisho.
MDs mliitaka cannibalism wenyewe mtulie kazi yenu huko mahospitalini.
Picha iko wapiVibonge ziii!

Siajngamua loloteAliyeelewa anieleweshe naona tu mabonge mara viba mara mlenda what is going on?!!!