Wanawake Makabila Gani Sio Vicheche

Kaldinali

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
263
Reaction score
144
Naelewa ukicheche (kiruka njia) ni tabia binafsi isiyotegemea sana kabila la mtu. Lakini kila mtanzania halisi anajua kwamba kuna makabila yenye reputation ya kuwa wao ni vicheche hasa wanawake. Kuepuka kuchafua hali ya hewa sitatoa mfano wowote ijapokuwa najua kila asomae hapa anajua makabila mawili au matatu ambayo wanawake wao wanasifiwa kwa ukicheche (loose balls).

Swali langu ni, Je kuna makabila ambayo yana reputation ya kuwa na wanawake watulivu sana na wasio vicheche. Kwahili nitatoa mifano michache. Binafsi nimesikia mara nyingi kuwa makabila mengi ya mkoa wa Arusha yana mabinti walio tulia sana kama vile Wameru na Waarusha. Swali ni je ni makabila gani mengine ambayo wanawake wanasifiwa kwa kuwa watulivu sana na kutokuwa vicheche (majority)?
 

Hapo kwenye red, majibu unayo mwenyewe!
 
Wee mshikaji bila ya shaka ni mtu wa Arusha. Hutaki dada zako waonekane kuwa ni vicheche badala yake umejifanya kuyasifia kuwa wapo vizuri na sio vicheche wakati ulianza vizuri kabisa kwa kusema kuwa ukicheche ni tabia binafsi ya mtu baadae ukajifanya kuwa unaepuka kuchafua hali ya hewa kwa kutotaja makabila ambayo ni vicheche, sasa inakuwaje umetaja hao waarusha kuwa co vicheche. Mimi kidogo nina mtazamo tofati na wewe, nadhani hao sister zako wa Arusha uliowataja ndio vicheche wa hatari ila pia naendelea kusisitiza kuwa ukicheche ni tabia ya mtu binafsi sio kabila wala nini.( Huu ni mtazamo wangu, sio lazima uwe kama vile unavyotaka wewe)
 


Mkuu, mimi ni Mzigua kwelikweli sina hila ndani yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…