Naelewa ukicheche (kiruka njia) ni tabia binafsi isiyotegemea sana kabila la mtu. Lakini kila mtanzania halisi anajua kwamba kuna makabila yenye reputation ya kuwa wao ni vicheche hasa wanawake. Kuepuka kuchafua hali ya hewa sitatoa mfano wowote ijapokuwa najua kila asomae hapa anajua makabila mawili au matatu ambayo wanawake wao wanasifiwa kwa ukicheche (loose balls).
Swali langu ni, Je kuna makabila ambayo yana reputation ya kuwa na wanawake watulivu sana na wasio vicheche. Kwahili nitatoa mifano michache. Binafsi nimesikia mara nyingi kuwa makabila mengi ya mkoa wa Arusha yana mabinti walio tulia sana kama vile Wameru na Waarusha. Swali ni je ni makabila gani mengine ambayo wanawake wanasifiwa kwa kuwa watulivu sana na kutokuwa vicheche (majority)?