Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangapi wenye mtazamo kama wako...Yaani siku hizi nikiona mara chura mara kiuno, mara nyonga wala sioni jipya - zilipendwa. Naomba muje ni mapigo mapya sasa hizi kanga moko baikoko kibao kata zimeshachuja kwanza nyonga zenyewe zimechakaa !!!
Mmoja wapo mimiHahahahahaha aisee vipi mtoa mada...uko good lakini... kuna watu CHURA ndio ugonjwa wao
Ni noma mkuu...kumbe ndio mambo yakoMmoja wapo mimi
Ova
Nkiona chura napagawa kabisa mkuuNi noma mkuu...kumbe ndio mambo yako
Unachanganyikiwa kabisa...vipi mkuu umeoa?Nkiona chura napagawa kabisa mkuu
Ova
Hahaha ngj nkujibu kwa pm yakoUnachanganyikiwa kabisa...vipi mkuu umeoa?
Funguka tu au bado upo upo kama mimi....wanawake yenyewe hawaeleweki siku hiziHahaha ngj nkujibu kwa pm yako
Ova
Nmeshindwa Ku pm...potezea ishu ya Ndo Ila chura kwangu ni shidaaFunguka tu au bado upo upo kama mimi....wanawake yenyewe hawaeleweki siku hizi
Kapicha tafadhali
Niuzie nyonga yako lisauzuri wa gari cyo bodi ni engine,,upoo ,, , unaweza ukawa nachura ukashindwa kumiliki bwawa la mtera,,, mwanamke nyonga,, kama mlivyo nyie mwanaume mashine
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
njoo uchukue,,, wa nguvuNiuzie nyonga yako lisa
[emoji3] poa poa mrangiNmeshindwa Ku pm...potezea ishu ya Ndo Ila chura kwangu ni shidaa
Ova