Wanawake mitego ya chura nk zilipendwa

Wanawake mitego ya chura nk zilipendwa

mandokwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
620
Reaction score
865
Yaani siku hizi nikiona mara chura mara kiuno, mara nyonga wala sioni jipya - zilipendwa. Naomba muje ni mapigo mapya sasa hizi kanga moko baikoko kibao kata zimeshachuja kwanza nyonga zenyewe zimechakaa !!!
 
Wangapi wenye mtazamo kama wako...
 
Hahahahahaha aisee vipi mtoa mada...uko good lakini... kuna watu CHURA ndio ugonjwa wao
 
uzuri wa gari cyo bodi ni engine,,upoo ,, , unaweza ukawa nachura ukashindwa kumiliki bwawa la mtera,,, mwanamke nyonga,, kama mlivyo nyie mwanaume mashine
 
Kapicha tafadhali
0983829526f80026ade740a267e9eff6.jpg
 
uzuri wa gari cyo bodi ni engine,,upoo ,, , unaweza ukawa nachura ukashindwa kumiliki bwawa la mtera,,, mwanamke nyonga,, kama mlivyo nyie mwanaume mashine
Niuzie nyonga yako lisa
 
Back
Top Bottom