Hii century nyingine mtapiga deki na kupika no timeAcha kuwalisha wenzio matango pori, ilo la kutupelekesha mnavyotaka halipo, zaidi zitazoumia ni sehem zenu za siri.utamzingua mwanaume utaenda kwa mwingine, utaona anakuzingua utaenda kwa wingine tena utaona anakuzingua utaenda kwa mwanamke mwenzako mwisho unakuwa kama choo cha umma tu.
AiseeAcha kuwalisha wenzio matango pori, ilo la kutupelekesha mnavyotaka halipo, zaidi zitazoumia ni sehem zenu za siri.utamzingua mwanaume utaenda kwa mwingine, utaona anakuzingua utaenda kwa wingine tena utaona anakuzingua utaenda kwa mwanamke mwenzako mwisho unakuwa kama choo cha umma tu. labda ungesema tuheshimiane tu.
aisee huu ujasiri sijui umeutoa wapi, anyway usijali tutawapikia na kuwapigia deki, enhee lingine? please tell us more.Hii century nyingine mtapiga deki na kupika no time
Tia mimba mbili tatu za chap chap kwisha habardawa yenu ni mimba tu si kingine, uki pop out unaongezewa nyingine
😀😀 anarudi ndani kulamba ndimu, ukwaju na udongo mwekunduTia mimba mbili tatu za chap chap kwisha habar
😂😂😂 eti anakwambia ukojolee nje akat nyumba ni self,,,dawa yenu ni mimba tu si kingine, uki pop out unaongezewa nyingine
Mimi I run the show mume wangu akifanya mchezo amekwisha .Pesa zake zetu zangu zakwangu peke yanguai
aisee huu ujasiri sijui umeutoa wapi, anyway usijali tutawapikia na kuwapigia deki, enhee lingine? please tell us more.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 aisee hii kali ya wikiAnakwambia ukojolee nje akat nyumba ni self,,,
The great hayawani
Dawa yenu kubaniwa tu tuone hizo mimba atabeba nani,dawa yenu ni mimba tu si kingine, uki pop out unaongezewa nyingine
Anakwambia ukojolee nje akat nyumba ni self,,,
The great hayawani
[/QUOTE.Mungu alifanya makosa kumpa mwanaume maskini mbegu za uzazi tabu tupuDawa ni kuweka hoja mezani na kujadikiwa na wana hoja ili kupata muafaka sawia.
Kumpelekesha mwanaume sio hoja sana ila maelewano na malengo ya baadaye ndio huleta uchaguzi barabara.
Mkikaa chini kwa hoja hakuna linaloshindika kama kuna nia njema
Sent using Jamii Forums mobile app
nje ya mada, iyo miguu ni yako ?Dawa yenu kubaniwa tu tuone hizo mimba atabeba nani,
Kama ni kukomoa jibebeshe uone raha ya u single baba[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app