Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

Mwanamke utabaki kuwa mwanamke tu kwangu.. hata uote mapembe..

Kuni control type ya mtu kama mm [emoji16], ni ndoto za arinacha.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi kumbe kusoma ndo kumpelekesha mwanaume, basi mi hapo ndo nilikuwa sijamuelewa!
Maana niliona mwanaume anapaswa kupelekeshwa, kumbe ndo lugha mpya ya mjini kumpelekesha mwanaume maana yake ni kusoma na kuajiriwa, duh nimejifunza jambo jipya hapa


Sent using Jamii Forums mobile app

Kusoma na kuajiriwa kunamfanya mwanamke awe na confidence, the problem is hampendi challenges..,, na challenges zinakuja baada kisomo...hakuna kupelekeshwa hapo,, ni mume ku accept mawazo ya mwanamke na kuona yanafaa kwa familia yao,,, mie nime understand some of you this is completely new mmezoea nafasi ya mwanamke ni jikoni peke yake,,, now kwa nini hamtafuti wanawake ambao ni CHEFS??,,wapishi wa mabiriani, pilau etc badala yake mnaangalia elimu na ajira??bro, anza kuangalia vitu with an open mind,,,
 
Mimi I run the show mume wangu akifanya mchezo amekwisha .Pesa zake zetu zangu zakwangu peke yangu
Endelea kumpa jogoo maji ya moto ukidhani kwamba anaweza taga mayai ya kuchemsha...

Keep running the show, he will be running the war someday, hapo ndo utajua, badala ya kusema "amekwisha" utagundua wewe ndo "umeishiwa".
 
Usiichokijua kwa bahati mbaya sasahivi mwanamke aliyesoma jamii haimuheshimu kulinganisha na aliyena mme, maana yake ni kwamba kwa karne hii iliyojawa na wasomi, Mme ni heshima ya mjini ,

Unaweza ukawa uko sahihi kutegemea na wanawake wapi unaowashauri, kwa mwanamke aliye kwenye ndoa ama anatarajia kuwa kwenye ndoa hawezi kupokea ushauri wako huu hata kidogo ila kwa waliokata tamaa na wasiona mipango ndo mmabwabwaja huku mitandaoni kuwapotosha wenzenu, mwanamke anayejitambua atamheshimu mme wake na kumjali ikiwa na kumshaur kwa bashasha na siyo kuhangaika kumtawala au kumfanya aonekane yeye ndo kila kitu, acheni Mambo ya wazungu mtaishia kwenye kutumika mwishowe mnatumiana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama akili yapo ipo sawa!! Nahisi una jambo linalokuletea shida katika ubongo wako!!! Well and good!! Wapelekeshe tu uone!! Utajikuta muda mreefu umeachwa bila kujijua!! Mwisho wa siku unaanza kubabaika kutafuta wanaume
 
Mimi I run the show mume wangu akifanya mchezo amekwisha .Pesa zake zetu zangu zakwangu peke yangu
Ndo roho mbaya ulofundishwa na mama yako iyo,na baba yako anafanyiwa unyama huo na mama yako pia.
 
Kwa amani na furaha ya moyo wangu na vizazi vyangu, HATA NIWE NA PESA VIPI SIWEZI KUMPELEKESHA WALA KUFANYA CHOCHOTE KISICHO NA MAADILI KWA MWENZA WANGU, nifanye hivyo ili niende kwa nani na huyo nitayemuendea ana nini kikubwa kumzidi baba watoto wangu
Mali, Jeuri na urembo nilionao ni vya kupita tu na huchuja kama chujio ukilitia nazi ila upendo wa kweli unaishi kadri unavyo zeeka na wenyewe unakomaa zaidi badala ya kufubaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom