Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

Kusoma na kuajiriwa kunamfanya mwanamke awe na confidence, the problem is hampendi challenges..,, na challenges zinakuja baada kisomo...hakuna kupelekeshwa hapo,, ni mume ku accept mawazo ya mwanamke na kuona yanafaa kwa familia yao,,, mie nime understand some of you this is completely new mmezoea nafasi ya mwanamke ni jikoni peke yake,,, now kwa nini hamtafuti wanawake ambao ni CHEFS??,,wapishi wa mabiriani, pilau etc badala yake mnaangalia elimu na ajira??bro, anza kuangalia vitu with an open mind,,,
umeolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa umemzungumzia Meghan ni sawa ila sidhani kama atafikia lengo lake kama anataka kuwa maarufu zaidi ya Her Majesty The Queen of England, ila kama pilika zao/zake zina malengo mengi mengine sawa, amini pia nakwambia baada ya hili utamsikia kwa nadra sana kama si kwa kuzitafuta habari zake
 
Acha kuwalisha wenzio matango pori, ilo la kutupelekesha mnavyotaka halipo, zaidi zitazoumia ni sehem zenu za siri.utamzingua mwanaume utaenda kwa mwingine, utaona anakuzingua utaenda kwa wingine tena utaona anakuzingua utaenda kwa mwanamke mwenzako mwisho unakuwa kama choo cha umma tu. labda ungesema tuheshimiane tu.
Kwahiyo sehem zako huwa haziumii zinaumia za mwanamke tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mweeeeh!! We huna remote controll ina unataka kumcontroll mwenzio [emoji134][emoji134][emoji134]

Okey, kila la kheri.
 
Mwanamke utabaki kuwa mwanamke tu kwangu.. hata uote mapembe..

Kuni control type ya mtu kama mm [emoji16], ni ndoto za arinacha.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata kuandika shida nani ahangaike na gume gume kama wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eti "Arinacha" hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana hujaolewa
Wanaume wa JF bwana,,,

Eti amesema ukweli mtoa mada wanawake tusome na tupate ajira,,, wanajidai kuruka kimanga, sijui kwa nini mtu aki mention elimu na ajira kwa wanawake kuna watu Ego zao zinakua hurt?????? Mnavyoshangaza sasa nenda kule jukwaa la Love Connect WANAUME WOTE wanataka mwanamke aliye na Kisomo na ambae ana shughuli ya kumuingizia kipato! Hamjielewi [emoji23][emoji22][emoji22][emoji22][emoji26][emoji26][emoji26][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom