20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,263
Kinacho fanya mwanamke awe chini ya mwanaume, sio kwamba hawezi kujitafutia au hana kipato.Mambo ya kupiga magoti kwa wakwe yashapitwa na wakati.
Wanawake siku hizi wamesoma na wana mishahara yao. Wanaume muanze kujipanga
View attachment 1320201
Naona mnalishwa tango pori na mam Terry
Sent using Jamii Forums mobile app