Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

Acha kuwalisha wenzio matango pori, ilo la kutupelekesha mnavyotaka halipo, zaidi zitazoumia ni sehem zenu za siri.utamzingua mwanaume utaenda kwa mwingine, utaona anakuzingua utaenda kwa wingine tena utaona anakuzingua utaenda kwa mwanamke mwenzako mwisho unakuwa kama choo cha umma tu. labda ungesema tuheshimiane tu.
 
Hii century nyingine mtapiga deki na kupika no time
 
Aisee
 
Mdada wa kitanzania unatejitambua usimsikilize huyu mtu. Anawapoteza.
Hao ni wazungu nyie ni weusi, wana sheria zinazo walinda nyie huku hamna. Unyenye kevu ndio iwe siraha yako kwenye mahusiano na ndoa.
Kwanini ujikweze? Ya ngoswe hayo yaoneni humu humu tu!

Mchukulie mama zenu kua roles model kwenye ndoa zenu sio huyo meghan ambae mnaishia kumuona kwenye internet tu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…