Wanawake mkifikisha miaka 28 nakuendelea...ndoa ni bahati nasibu

Wanawake mkifikisha miaka 28 nakuendelea...ndoa ni bahati nasibu

Mkami Lum

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
414
Reaction score
95
Wana jf,,
Kwa utafiti nilioufanya nimegundua kua binti akifikisha miaka 28-nakuendelea, kama hajaolewa huishia kuzaa na waume za watu. Na kama ataolewa basi ataolewa na mme wa mtu (awe bimdogo) [possibility 87%] au mwanaume aliyeachana/kufiwa na mkewe...[possibility 73%]
Huo ndio ukweli wenyewe...
 
We shold put this matter to rest!!!!!!! Anhaaaaaaaaaa! Tushasema Ndoa Bakhti! Watu wengine wanaolewa 40 huko itakuwa 28! Wengine 28, ndoa ya 2, na zinakuja zingine! NDOA HAINA FORMULA!!!!!!!!!!!!
 
Ahsante Lara hizo ni njozi tu watu wanaolewa 36 na ushee.
 
Sina uhakika kama wanawake wanapenda kuolewa, kama wanapenda basi huenda wanaume hawapendi kuwaoa! Pamoja na yote na yote hayo lakini miaka 28 mbona bado sana, labda uongelee 35 na zaidi!! Kuna matatizo mengi pia ambayo yanaikabili secta ya ndoa kwa wanawake wasomi (graduands), kubwa zaidi ni kwamba wale wenye sifa za kuwaoa wasomi hao ni wachache katika jamii, lakini kibaya zaidi hata hao wachache hukimbilia mabinti wenye elimu za wastani !! Hizi ni baadhi tu ya changamoto!!
 
humu kuna wadada waliozidi 30 kibao ambao hawajaolewa, sasa sijui unategemea nini kuanzisha uzi huu.
 
heee we huna kaz au?huchoki kuzungumzia wanawake kumbe ni kwel wataalamu wanavyodai mwanaume hutumia masaa 20kati ya 24 katika cku kuwaza wanawake na mapenz ni kwel kwani aliekwambia wanawake wanahusudu sanaaaa kuolewa nani? labda dada zako..we kama umetoka kupigwa kibut na mtu wa age hyo kajambe machungu yako hukooo uctunukie hapa jf...imbecile
 
We shold put this matter to rest!!!!!!! Anhaaaaaaaaaa! Tushasema Ndoa Bakhti! Watu wengine wanaolewa 40 huko itakuwa 28! Wengine 28, ndoa ya 2, na zinakuja zingine! NDOA HAINA FORMULA!!!!!!!!!!!!

Kuna binti ana 24 na sasa yumo kwenye ndoa ya 3
 
Huyu mleta mada ht msihangaike nae....nyuzi zake zoooote alizowahi kupost ni ni wanawake na ngono...so seemz to be addicted to ngono....watch out ukimwi unaua
 
Yaani wewe wa juzi kweli! Wenzio tunasema mtu asiolewe hadi afike 30! Waulize wenzio ni raha kiasi gani kuwa na a mature wife. Ndoa za utotoni hazikubaliki!

Upo sahihi kabisa miaka 30 na zaidi kwa mwanamke ni suitable for marriage, taabu ni je, anaweza kuitunza salama papuchi mpaka umri huo..?? Au ataolewa akiwa "very" used..??
 
Mbona dada zetu mnamshambulia hivyo mleta mada, kwani na nyie mpo juu ya umri huo wa miaka 28? Si muelimisheni tu kwa hoja?
 
Naona mleta mada huenda huu ni mtazamo
wako zaidi,kuna dada zetu wengi wanaolewa
na wengine wanasema wazi kuwa mpango
wa ndoa hawautaki isipokuwa kupata mtu na
kuzaa nae watoto.


Pia jua wazi kwasasa ndoa si kigezo pekee
cha kufanya maisha kuwa rahisi/magumu
Maana kuna walioko kwenye ndoa wanatamani
kutoka huko maana kuna adha zake.


Suala la kuolewa halina umri km baadhi yetu
tunajiaminisha kila uchao kuwa hivi/vile
Jaribu kufikiria kuna wengine wanasema
mkeo lazima awe na kazi/sio lazima.


Mleta mada nadhani hili liko zaidi kimtazamo
wako maana udhibitisho unao wewe mwenyewe.
 
What is ndoa jaman! suala la mapenzi na ndoa ni so SUBJECTIVE and COMPLICATED sector so do noT generalize! Usijemuona mwanaume ana 35+ and woman 30+ ukamshangaa kwanin hajaolewa ama kuoa? ANASABABU ZAKEE! Ndoa hailazimishwi! so usiwatishe wenzio ! Afu ujue umenikatisha usingizi wangu! Aagh!
 
Hivi ndoa siku hizi nazo ni bahati na sibu au majanga tu,ndoa95%ziko ICU,3%zipo mawodini hoi nazo,1%zaenda kutibiwa na kurudi,1%zinameza dawa home,na hii ni kitokana na watafiti,kma unabisha jiulize kwa nini wanawake wengi sana siku hizi wanakimbilia kwa waganga kuwalogeni mnabugia madawa hadi bac
 
huyu mtoa mada hana jipya inawezekana dada zake wana umri huo hawajaolewa kwa kifupi sio wanawake wote wanataka kuolewa
 
TO HAVE A MATURED WIFE OF FROM 30yrs and above is much much better B'COUSE anafahamu dunia ni kitu gani,ameonja mazuri na mabaya mengi ingawa mabaya huwa mengi zaidi ili kukufunza adabu nk nk nk
 
Back
Top Bottom