Wanawake mkifikisha miaka 28 nakuendelea...ndoa ni bahati nasibu

Wanawake mkifikisha miaka 28 nakuendelea...ndoa ni bahati nasibu

Hebu acheni kuwasakama hao walo > 28 bwana anayetoa riziki ni mola...Ingekuwa kutaka kuolewa tu ili uolewe wangeshaolewa wengi lakini mtu lazima ujue madhumuni ya ndoa na uolewe kwa nia moja nayo ni UPENDO...Sio uolewe kwasababu umri umeenda/mali/upweke...Watu wanakimbilia ndoa ndio maana ndoa zenyewe hazidumu kwasababu wanakimbilia vitu kabla ya wakati wao eti kitoto cha miaka 20 kinaolewa kha hata hakijapevuka na kuenjoy life :smile-big:....KWELI KUA UONE...
 
miaka 30 daaaaa! huyo mdada damu ishaanza kupoa labda me nikiwa na umri wa mia 45 ndo nitamuoa wa umri huo
 
30yrs daaaaa! huyo mdada damu ishaanza kupoa labda me nikiwa 45yrs ndo nitamuoa wa umri huo But mwanamke ni MATUNZO.
 
Wana jf,,
Kwa utafiti nilioufanya nimegundua kua binti akifikisha miaka 28-nakuendelea, kama hajaolewa huishia kuzaa na waume za watu. Na kama ataolewa basi ataolewa na mme wa mtu (awe bimdogo) [possibility 87%] au mwanaume aliyeachana/kufiwa na mkewe...[possibility 73%]
Huo ndio ukweli wenyewe...

Utafiti huu umeufanya miaka mingi iliyopita au baada ya kuwa umesoma nyuzi kadhaa za hapa zinazozungumzia ishu hii hii miaka nenda miaka rudi?
Inatosha sasa. Kama ni utafiti basi huu ni utafiti paste.
 
Natafuta mchumba mwanamke sibagui rangi umri dini wala kabila awe na Upendo wa dhati
 
kwani kama damu yake ishaanza kupoa yako je? kwani ww unarudi kuwa kijana.
 
Ahaa! Nampatapata huyu jamaa. Kila akipiga hodi anapigwa chini. Sasa afanye je? Kaamua kuwasagia kila akipata nafasi. Mbichi hizi sizitaki! Pole wee!
 
Alichosema mtoa uzi kina ukweli fulani ila hilo la kuzaa na wanaume wa watu siyo kweli kamili kwani hata wenye miaka chini ya 28 bado huzaa na kuolewa na wanaume za watu, ninachokiona mimi ni ugumu wa kupata mwanaume wa kumuoa kwani vijana wa kiume wengi wanaoa wakiwa na miaka kwanzia 25 na hata akifika miaka 30 au 35 bado atapendelea kuoa under 28 age n huu si utafiti bali ni mambo yanayooekana wazi.
 
We shold put this matter to rest!!!!!!! Anhaaaaaaaaaa! Tushasema Ndoa Bakhti! Watu wengine wanaolewa 40 huko itakuwa 28! Wengine 28, ndoa ya 2, na zinakuja zingine! NDOA HAINA FORMULA!!!!!!!!!!!!

Unavyowapa moyo
 
yawezekana umekita mizizi ya mawazo yako miaka 47 ilyopta ambapo walkuwa wanaanza kuolewa na miaka 14, akfka ishrn na tano hajaolewa wanamshangaa...
 
Huyu mleta thread hii unamtafuta nini mama yako, dada zako, shangazi zako, bibi zako, mama mkwe wako na mabinti zako? ukijua kurespect hawa watu sidhani kama kila uchao na uchwao utakuwa unawaza habari zinazowahusu. au bi mkubwa hakuolewa ndo maana unaumia sana nini?
 
heee we huna kaz au?huchoki kuzungumzia wanawake kumbe ni kwel wataalamu wanavyodai mwanaume hutumia masaa 20kati ya 24 katika cku kuwaza wanawake na mapenz ni kwel kwani aliekwambia wanawake wanahusudu sanaaaa kuolewa nani? labda dada zako..we kama umetoka kupigwa kibut na mtu wa age hyo kajambe machungu yako hukooo uctunukie hapa jf...imbecile
Dah! hizi ni hasra au kuguswa!
 
Huyu mleta thread hii unamtafuta nini mama yako, dada zako, shangazi zako, bibi zako, mama mkwe wako na mabinti zako? ukijua kurespect hawa watu sidhani kama kila uchao na uchwao utakuwa unawaza habari zinazowahusu. au bi mkubwa hakuolewa ndo maana unaumia sana nini?
he makubwa ! hayo ni mawazo yake tu ......wala mamake hayamhusu ...mjibuni kwa hoja
d
 
Kama kuna mtu anashindwa kuolewa aje tu! Mi ntamuoa..lakini awe na miaka zaidi ya 30!
 
Back
Top Bottom