Wanawake mkifikisha miaka 28 nakuendelea...ndoa ni bahati nasibu

Wanawake mkifikisha miaka 28 nakuendelea...ndoa ni bahati nasibu

Wana jf,,
Kwa utafiti nilioufanya nimegundua kua binti akifikisha miaka 28-nakuendelea, kama hajaolewa huishia kuzaa na waume za watu. Na kama ataolewa basi ataolewa na mme wa mtu (awe bimdogo) [possibility 87%] au mwanaume aliyeachana/kufiwa na mkewe...[possibility 73%]
Huo ndio ukweli wenyewe...

Kwenda zako,
tutakuvunja taya.
Mbona mie nina 23 na nipo nyumba ndogo ya m-babu moja tambi la njenje, he's 75 years na ana mkewe wa ndoa mpaka sasa.
Ingia chaka kusahihisha utafiti wako.
 
Mmmmh! Jamaa amegusa penyewe nini?! Mbona wadada wanamshambulia kwa hasira??
 
sio wanawake tu hawaolewi mbona na wanaume nao wanaogopa kuoa. Mambo yote yanaongozwa na mpango wa mungu kwa wanaomtegemea mungu. Mimi rafiki yangu ana mpango wa kuolewa sasa na ana miaka 37 hajawahi kuolewa wala kuwa na mtoto. Hivi majuzi kaolewa mfanyakazi mwenzetu ana miaka zaidi ya arobaini na send off tumesherekea. Wadada msikate tamaa na kuanza kudate na waume za watu kwani ni laana. Mungu ana mpango na kila mtu anayemtegemea
 
Ukweli hujitenga na uongo siku zote! Hakuna anayetaka kumuo mke mzee hata siku moja. Tafiti zinaonesha kwamba mwanamke >30 anapata complications nyingi kwenye uzazi pia uwezekano wa kuzaa watoto wasio na akili nzuri ni mkubwa! Any way mm binafsi mm naöna ndoa haina faida yeyote ndo ipo kiimani zaidi na hasahasa km ka mfumo fulani ka maisha mtu anapaswa akapitie hata biblia ipo wazi kabisa mungu anapendelea maisha ya useja na utawa zaidi maana ndoa ni kifungo au agano haikuweki huru kumtumikia mungu ipasavyo hivyo si lazma kuoa au kunlewa!
 
Wana jf,,
Kwa utafiti nilioufanya nimegundua kua binti akifikisha miaka 28-nakuendelea, kama hajaolewa huishia kuzaa na waume za watu. Na kama ataolewa basi ataolewa na mme wa mtu (awe bimdogo) [possibility 87%] au mwanaume aliyeachana/kufiwa na mkewe...[possibility 73%]
Huo ndio ukweli wenyewe...

Umefanyia wapi huo utafiti ndugu yangu? Mbona hapa JF wote mnaokuja kutafuta wachumba mnahitaji wasichana/wanawake wenye miaka hiyo uliyoitaja? Au kwa sababu mama yako alizaa na mume wa mtu? na yule dada ako hapo nyumbani kaolewa mke wa 4?
 
heee we huna kaz au?huchoki kuzungumzia wanawake kumbe ni kwel wataalamu wanavyodai mwanaume hutumia masaa 20kati ya 24 katika cku kuwaza wanawake na mapenz ni kwel kwani aliekwambia wanawake wanahusudu sanaaaa kuolewa nani? labda dada zako..we kama umetoka kupigwa kibut na mtu wa age hyo kajambe machungu yako hukooo uctunukie hapa jf...imbecile
huh?...!!
 
Ukweli hujitenga na uongo siku zote! Hakuna anayetaka kumuo mke mzee hata siku moja. Tafiti zinaonesha kwamba mwanamke >30 anapata complications nyingi kwenye uzazi pia uwezekano wa kuzaa watoto wasio na akili nzuri ni mkubwa! Any way mm binafsi mm naöna ndoa haina faida yeyote ndo ipo kiimani zaidi na hasahasa km ka mfumo fulani ka maisha mtu anapaswa akapitie hata biblia ipo wazi kabisa mungu anapendelea maisha ya useja na utawa zaidi maana ndoa ni kifungo au agano haikuweki huru kumtumikia mungu ipasavyo hivyo si lazma kuoa au kunlewa!
sawa kabisaaa.mambo hayo yamekua oldfasheni.
 
Kwenda zako,
tutakuvunja taya.
Mbona mie nina 23 na nipo nyumba ndogo ya m-babu moja tambi la njenje, he's 75 years na ana mkewe wa ndoa mpaka sasa.
Ingia chaka kusahihisha utafiti wako.
aah wapi?.
 
mambo yamebadilika san napenda san kama ataolewa akiwa na miaka kuanzia 29 hv coz nadhan inakuwa rahisi kufkia malengo mana wanaoolewa wakiwa na umri below 28 mpaka aje afike45 utackia ana watoto12 hata kama hakuwa na lengo hilo kisa ndoa imeanza wakiwa wadogo na njia za uzaz wa mpango cku hz imekuwa not 100% sure
 
ijumaaa hyo mmeanza.....hii mada imechoshaaaaaa,tushajadili sana hapa!
 
huyu mtoa mada hana jipya inawezekana dada zake wana umri huo hawajaolewa kwa kifupi sio wanawake wote wanataka kuolewa

Hivi ni kweli kuwa wapo wadada hawataki kuolewa?
Wapo kweli? I highly doubt, SMFH!
 
Kwangu mimi miaka 28 ndio umri sahihi wa mwanamke kuolewa na sio kama mleta uzi asemavyo.
 
We shold put this matter to rest!!!!!!! Anhaaaaaaaaaa! Tushasema Ndoa Bakhti! Watu wengine wanaolewa 40 huko itakuwa 28! Wengine 28, ndoa ya 2, na zinakuja zingine! NDOA HAINA FORMULA!!!!!!!!!!!!

Hivi is NDOA the MUST??????
 
mie I already said if I were in my 38 and am not married that woulb be something else

By the way huo utafiti wako uliufanyia wapi!!!!!!!!!!!!
 
We shold put this matter to rest!!!!!!! Anhaaaaaaaaaa! Tushasema Ndoa Bakhti! Watu wengine wanaolewa 40 huko itakuwa 28! Wengine 28, ndoa ya 2, na zinakuja zingine! NDOA HAINA FORMULA!!!!!!!!!!!!

28 ndoa ya pili. labda kwa jamaa zetu wale wa upande mwingine
 
Back
Top Bottom