Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Aug 26, 2013 #61 Mkami Lum said: wanaume haina shida xana, hujaona hata wa miaka 60 wanaoa tena vitoto bikra? Click to expand... kwahiyo kuoa vitoto huoni kama ni kuishiwa huko?
Mkami Lum said: wanaume haina shida xana, hujaona hata wa miaka 60 wanaoa tena vitoto bikra? Click to expand... kwahiyo kuoa vitoto huoni kama ni kuishiwa huko?
kemashafe Senior Member Joined Mar 25, 2013 Posts 138 Reaction score 59 Aug 28, 2013 #62 yaani humu jamani ndoa ni mipamgo ya mumgu watu wana 45 wanaolewa sembuse 28 kama ipo ipo tu
Pleasepast JF-Expert Member Joined May 30, 2023 Posts 509 Reaction score 848 Mar 12, 2025 #63 mwaxxxx said: Kuna binti ana 24 na sasa yumo kwenye ndoa ya 3 Click to expand... Sio ndoa sema yuko kwenye sogea tukae ya tatu
mwaxxxx said: Kuna binti ana 24 na sasa yumo kwenye ndoa ya 3 Click to expand... Sio ndoa sema yuko kwenye sogea tukae ya tatu