Wanawake mkikutana na wenza wenu msivae suruali zinazobana, mnatia aibu!

Wanawake mkikutana na wenza wenu msivae suruali zinazobana, mnatia aibu!

Ndugu zangu,

Kuna tabia ya sikuhizi ya wanawake kupenda kuvaa suruali. Kiukweli sio vazi baya ila kuna baadhi yao linawadhalilisha kwenye jamii. Mtu katoka kukutana na mwenza wake kimwili then kavaa suruali iliyobana bila hata mtandio wa kumstiri ni aibu. Nawasanua tu. No malice to anyone
Ukipewa mtaji wa kuuza viatu au nguo za mfumba utaweza? Ili angalau upate chochote kitu.
 
Unajifunza? Kumbe bado mtoto? Ndiyo maana huwa unakataa ndo kumbe umri bado?
😁😁😁 nimekosea nilikua nataka kuandika najitunza ,mimi sio mtoto ,ila ndoa bado bado kwa sasa Acha nikatae kwanza ila huko mbele maamuzi yanaweza kubadilika😁😁😁
 
😁😁😁 nimekosea nilikua nataka kuandika najitunza ,mimi sio mtoto ,ila ndoa bado bado kwa sasa Acha nikatae kwanza ila huko mbele maamuzi yanaweza kubadilika😁😁😁
Utaoa tu
 
🤣🤣Ndo Ivo....afu tunanyege muda wote,Ivo lazima unase mkuu
😁😁😁 ila nikinasa humu na kila mtu akashuhudia itakua ndio ndoa tosha kabisa, tena iliyohudhuriwa na watu wasiopungua 2000😄😄😄
 
To yeye Kuna kipindi ulikuwa umechachuka mpaka wadau wakaanza kukuponda 😂😂😂 naona umerudi na comments zako zile
 
Back
Top Bottom