Wanawake mkikutana na wenza wenu msivae suruali zinazobana, mnatia aibu!

Ukipewa mtaji wa kuuza viatu au nguo za mfumba utaweza? Ili angalau upate chochote kitu.
 
Unajifunza? Kumbe bado mtoto? Ndiyo maana huwa unakataa ndo kumbe umri bado?
😁😁😁 nimekosea nilikua nataka kuandika najitunza ,mimi sio mtoto ,ila ndoa bado bado kwa sasa Acha nikatae kwanza ila huko mbele maamuzi yanaweza kubadilika😁😁😁
 
😁😁😁 nimekosea nilikua nataka kuandika najitunza ,mimi sio mtoto ,ila ndoa bado bado kwa sasa Acha nikatae kwanza ila huko mbele maamuzi yanaweza kubadilika😁😁😁
Utaoa tu
 
🀣🀣Ndo Ivo....afu tunanyege muda wote,Ivo lazima unase mkuu
😁😁😁 ila nikinasa humu na kila mtu akashuhudia itakua ndio ndoa tosha kabisa, tena iliyohudhuriwa na watu wasiopungua 2000πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
😁😁😁 ila nikinasa humu na kila mtu akashuhudia itakua ndio ndoa tosha kabisa, tena iliyohudhuriwa na watu wasiopungua 2000πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Hakika,itakuwa imeisha hiyo😊
 
To yeye Kuna kipindi ulikuwa umechachuka mpaka wadau wakaanza kukuponda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona umerudi na comments zako zile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…