Wanawake mlio kwenye ndoa badilikeni, mnachokifanya mnadhalilisha sana waume zenu.

Sasa kama walikuamini na wakakueleza wewe ili uwashauri tatizo liko wapi? Au we ulitaka wafanyaje?
Mbona niliwapa ushauri mzuri sana na wakaufanyia kazi, sema kuna wengine wanasema si kwa kuhitaji ushauri bali msaada wa kufikishwa peponi. Nao pia wanapata, ila zaidi natoa ushauri mzuri njia ya kuweza kumaliza tatizo.
 
Tatizo hawawajui waume zao !! Aliyetakiwa kuwa mume wa mwanamke ni yule aliyemtoa usichana ( bikra ) tuu. Hawa wengine ni wapita njia.
 
Sasa kama walikuamini na wakakueleza wewe ili uwashauri tatizo liko wapi? Au we ulitaka wafanyaje?
Huyu bwana haeleweki, na mwenye Tatizo ni yeye sio wao! Mtu akikueleza siri zake za ndani haina maana kuwa ni Mlopokaji au haijui ndoa na madhira yake, lakini kwa akili finyu za mtoa mada akabadili upepo na kuja kuwasimulia na kuwaona kama watu wasiofaa,huu ni ujinga uliopita kiasi, huwezi kuwashauri au kuwatia moyo basi bora ukatae kuwasikiliza tu kuliko kuja JF na wewe ukajifanya una Mada ya Ku post
 
Mbona niliwapa ushauri mzuri sana na wakaufanyia kazi, sema kuna wengine wanasema si kwa kuhitaji ushauri bali msaada wa kufikishwa peponi. Nao pia wanapata, ila zaidi natoa ushauri mzuri njia ya kuweza kumaliza tatizo.
Kumbe wewe ndio jipu.
 
Ukimsoma vizuri utajua ni kwa jinsi gani hao wanawake (kama kweli lakini maana siamini ktk hili) walikosea.
 
Be a were of your body language binti, inaonekana na wewe una matatizo makubwa kwenye ndoa yako binti yangu ngoja nikupe ushauri kama ninavyowapa wenzako, so begin today to respect your husband in thought, word and deed. If you are having a hard time thinking of anything to admire, consider these categories : physical traits, mental skills, financial strengths, spiritual growth or heath relationship . Men don't give a lot of weight to feeling show them facts and they'II be more likely to listen. Nahisi umenielewa binti yangu na kama una matatizo zaidi nifate Pm nitajua nini cha kukusaidia
 
Ukimsoma vizuri utajua ni kwa jinsi gani hao wanawake (kama kweli lakini maana siamini ktk hili) walikosea.
Ha ha ha ha pole sana if you want to have a peaceful, happy marriage, learn the art of the compliment. Compliments are like magnets and the more he will be attracted to you.
 
Ukimsoma vizuri utajua ni kwa jinsi gani hao wanawake (kama kweli lakini maana siamini ktk hili) walikosea.
Na ukimsoma vzr mtoa post alikua na lengo la kujisifia, maana kuna comment zake anadai wengine wanataka zaidi ya ushauri na yeye anawapa, sioni kosa mtu kueleza matatizo yake kwa mtu anayemuamini, maana binadamu wameumbwa tofauti mwingine akisema anakua kama katua Mzigo mzito! Kosa ni pale Huyo anayeaminiwa akilichukulia kama faida
 
Ndio hapo chacha. Hope atajirekebisha kwanza yeye kabla ya kuwarekebisha hao anaowaongelea.
 
Ndio hapo chacha. Hope atajirekebisha kwanza yeye kabla ya kuwarekebisha hao anaowaongelea.
Atoto na LadyAJ mashambulizi yenu sasa yamezidi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] twende taratibu
 
Usioe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…