My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kweli ni mwanamke ametoa huu ushuhuda ...hakika kayatoa yaliyo ya kweli.....wanawake, na hasa mlioko kwenye ndoa...jifunzeni kitu hapa..........siku zote jamii inaonaga mwanamke ndie anaonewa.......but kuna WANAWAKE hatari...sio wote......ila wapo......na wengi wao wanaponzwa na washauri.....ambao ndio miungu watu wao.........shetani huwa karibu na wewe.......yakishaharibika huenda zake beach kupumzika...and kuselebrate.....while awaiting for .next...assignment. .
katika ndoa kuna vitu huwa vinaumiza....Mungu atusaidie.....maneno yanauma sana......nikiona vijana wangu wanavyokua...namuomba Mungu sana.....Haya ni ya moyoni na yafaa kujifunza sisi sote.
Si wanawake si wanaume kuna nyakati tunajisahau na kuona upande wa pili hawana la kufanya. Ishatokea mtu anakusimanga sana, anakutafutia sababu ili tu muachane ila bado wang'ang'ane maana wajua thamani ya uoendo...ataibuka na mimaneno ya kuumiza kuwa "kuna wenye pesa zao huku wananihitaji wewe "vijipesa vyako" daga na mchicha kila siku jana gerezani!! Uvumilivu una mwisho...unapokubaliana na alitakalo anaondoka kwa nyodo zote na matusi juu....baada ya muda anaanza kujutia na hasira zinakuwa nyingi zinazoambatana na kukosa kibali na masimango ya wale aliowaona wanafaa!
Mthamini akupendaye, kamwe hutojuta.
Very true,ndugu,marafiki ,mashoga ukishawaingiza kwenye ndoa yako hiyo ndoa haitawaliki,ndoa inakuwa remotely controlled.Wanawake wa aina yako wako wengi sana,anaanzisha visa ambavyo havipo ili tu kukutwist aone stability yako ikoje,ila kaa ukumbuke iko siku akichoka talaka lazima ikuhusu...Pole sana kwa yaliokukuta, ndoa huwa ni yawatu 2 tu, mkianza kuleta wengine kati hapo ndoa inakosa uhai,
labda uwe na ndugu wenye akili timamu.
Sent using Jamii Forums mobile app