To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣🤣Mtag alie kusumbua humu , au ni hao wa huko kijijini kwenu mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Mtag alie kusumbua humu , au ni hao wa huko kijijini kwenu mkuu?
HuhuhThose oversize glasses
Kaka yangu yupo Angola muombee sana..Huhuh
😂😂😂😂Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba.
Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini.
Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale.
Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini.
Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa raba, jinsi na t-shirts kali mliokuwa mnawapapatikia, kipi kimewatokeeni??
Leo hii wavaa vitenge ndio wamekuwa retirement plan baada ya kufanya um@laya wenu na K kuchakaa, eti??
Hayo magonjwa mliyoyaokota huko, mimi niyapeleke wapi??
Wakiwa early 20s huwa wana maneno machafu na dharau kibao. Wakiacha kuchacha sasa kama Maharage ya juzi, yaaani full usumbufu na kutia tia huruma kmmae zaoKumekucha tena
WalaaaKakugusa
Huyo ni shindikanaa wa Arusha36 na upo single ready to mingle 🤣🤣🤣
hili limetoka rohoni kabisa 😉😉😉Wakiwa early 20s huwa wana maneno machafu na dharau kibao. Wakiacha kuchacha sasa kama Maharage ya juzi, yaaani full usumbufu na kutia tia huruma kmmae zao
Uzee raha sana mjukuu wanguNimekugusa acha kuzuga kizee wewe
Punguza ghadhabu, alokukosa ni nani tumjaribu kumsemeza?Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba.
Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini.
Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale.
Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini.
Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa raba, jinsi na t-shirts kali mliokuwa mnawapapatikia, kipi kimewatokeeni??
Leo hii wavaa vitenge ndio wamekuwa retirement plan baada ya kufanya um@laya wenu na K kuchakaa, eti??
Hayo magonjwa mliyoyaokota huko, mimi niyapeleke wapi??
Dada moja hivi nilimtakaga mwaka 2016, akanikataa kwa matusi na kejeli eti kwa vile sina swagger za watoto wa mjini, ila sasa hivi full kunishobokeaPunguza ghadhabu, alokukosa ni nani tumjaribu kumsemeza?
Kumbe eeeh??Mzee raha sana mjukuu wangu
Haki huu Uzi umefanya nicheke mpk naonekana kituko 😂😂😂😂Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba.
Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini.
Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale.
Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini.
Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa raba, jinsi na t-shirts kali mliokuwa mnawapapatikia, kipi kimewatokeeni??
Leo hii wavaa vitenge ndio wamekuwa retirement plan baada ya kufanya um@laya wenu na K kuchakaa, eti??
Hayo magonjwa mliyoyaokota huko, mimi niyapeleke wapi??
Basi mkuu wamekuskia na kukuelewa 😂😂Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba.
Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini.
Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale.
Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini.
Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa raba, jinsi na t-shirts kali mliokuwa mnawapapatikia, kipi kimewatokeeni??
Leo hii wavaa vitenge ndio wamekuwa retirement plan baada ya kufanya um@laya wenu na K kuchakaa, eti??
Hayo magonjwa mliyoyaokota huko, mimi niyapeleke wapi??
Hakika mkuuNi fahari sana kuwa na mwanamke mwenye 20 mpaka 24 ambae hajatumika sana.
UsijaliKaka yangu yupo Angola muombee sana..