Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Endelea kuthibitisha ni kwasababu gani una miaka 34 na ndoa huna! Kutukana ni ishara ya immaturity bibie, wanawake wote wenye akili timamu wapo kwenye ndoa zao
Nawachawi wewe kaaa kwakutulia tumelogewa wanaume wasituoe wakaolewa wao wengine hadi sasa ndoa zimewashinda mnalogwa sema hawaambi tu watoto wengi tu sio damu zenu .

Mwanaume mwenye hela haoi mapema maana anachagua wasahihi wanawake ambao hawajaolewa wana jitambua walioolewa wachawi hawajitambui
 
Hamna uchawi kwenye ndoa, badili mtazamo wako, ndoa ni zaidi ya hizo hela. Labda nikusahihishe hakuna mwanaume ambaye kapata hela pasi na msaada wa mwanamke(mke) akaoa mapema.

Tatizo mnafikiri tunawatukana tunavyowaambia ukweli, dada yangu ameolewa na miaka 40+ mwaka jana, sio kwamba hakupata wanaume wakumuoa ni vile tu alikuwa anachagua sana mwisho wa siku wakutangaza ndoa wakakata mguu, kilichotokea kuna tetesi wanasema kajilipia mahari ili aolewe!

Waambieni wadogo zenu ukweli wasipoteze nafasi wakati bado wakati unaita, muda haumsubiri mtu na nina hakika unalijua hilo.
 
Mimi mwanamke akinikataa eti sio type yake, ndio imeisha hiyo, hata aje kulia machozi ya damu, I would never turn down my decision..
 
Nawachawi wewe kaaa kwakutulia tumelogewa wanaume wasituoe wakaolewa wao wengine hadi sasa ndoa zimewashinda mnalogwa sema hawaambi tu watoto wengi tu sio damu zenu .

Mwanaume mwenye hela haoi mapema maana anachagua wasahihi wanawake ambao hawajaolewa wana jitambua walioolewa wachawi hawajitambui
Hivi nani akiiba anasema kaiba
 
Back
Top Bottom