Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

Bongo hamna formula, anaweza kuwa na miaka 24 ila k ina experience ya kupondwa pondwa kwa miaka 10 mfululizo sasa wa hivi anakuwa na thamani gani kumzidi huyo wa 30+. Wavaa vitenge acheni kukuza mambo
 
Sad truth:

Men age like fine wines 🍷 but bichez age like milk.

Dada angu akitokea boya mmoja anataka kukuoa usilete mapozi sijui unataka kula ujana, olewa ujana utaula ndoani.

Unatakiwa kujua, kwa mwenendo wa dunia ulivyo sasa, idadi ya wanaume wanaooa inaanza kupungua, kuoa imekua kama mzigo, hata hapa jf hii movement ya kataa ndoa imeanza juzi juzi tu(alarm igonge kichwani mwako binti)

Usiwasikilize mastaa sijui ma infuluensa utaishia kujuta maisha yako yote ukiwa peke yako in your 30s or 40s baridi inakupiga hupati hata msaada, katoto kamoja ulikozaa kwa kuwaiga mastaa wa insta unakuta hakana nyuma wala mbele kameamua kuwa ka shoga tu coz ya malezi.

Olewa leo hata kama mwanaume ni mshamba mvaa mashati ya kitenge, utambadilisha tu(naturally mwanamke ana power ya kumbadilisha mwanaume)

Chukueni hiyo nyie mademu wa humu
Hakika umewashauri vizuri Sana mkuu
 
Mi sijui wanawake hua wana akili gani?

Kuna mmoja hapa alizalishwa na jamaa, baadae jama akampiga chini. Demu kahangaika na mtoto wake weee miaka kama minne akiwa singo maza.

Baadae sijui kilitokea nini akaamua kurudi tena kwa yule mwamba aliemzalisha. Mwamba kamtia mimba nyingine, demu kujifungua tu jamaa kampiga chini tena..!

Saivi demu hali yake ni mbaya kuliko ilivyokua mwanzo na watoto wawili juu.
Huyo ni boya mmoja Tu asiye na akili hata chembe.Mjinga Sana Yule mdada
 
Tusifike huko,msiache kuwasitiri , inawezekana kuna sababu nyingi za kuchelewa kuolewa ikiwemo shule.........
 
🤣😂🤣🤣😂🤣🤣😂🤣
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
 
Nyuzi za hivi zinaweza kufanya mabinti zetu waanze kuishi Kwa stress na kujikuta wakiingia kwenye mahusiano kwa panic

Mabinti hakuna hurry kwenye hili

Take your time kuhakikisha unapata mtu sahihi kwenye mahusiano yenu

Kumbukeni mkikosea kupata mtu sahihi itakuja kuwa shida Kwa mtoto/watoto wenu utakaozaa naye huyo Mwanaume

Tafuta a responsible father's to your kids, hawa wa bora liende watakuja kushindwa kuwapeleka hata Shule watoto wenu
 
Wangu nimekutana naye ana 45yrs na natamba naye vema tu.
 
1000017297.png
 
Hivi Mtani wangu hii ngoma unayoisemaga ni kweli hivi? 🤔

Ndo umuoe kwani shida iko wapi sa.
Ndio kweli mtani naishinkwa matumaini...na hivi majuzi daktari wangu kasema nina miaka 2 tuu ya kuishi 😭😭😭😭

Kwa kweli sowezi kumuoa maana ni 29 tayari alafu sio kwa ubaya, ila s hana tako.
 
Extrovert hivi tuwe tu wakweli mnavyo nanga akina sisi kwani nyie mnahela ambayo inamzidi babalevo ukiacha mwijaku mtu wakunisuta nikajutia maisha ni hao machawa atleast wanavipesa vya kuhongwa nawasani sio nyie mnapumulia gesi .

Nyumba uliyoijenga wewe inagharimu sh. Ngapi, kingine gari yako yakutembelea inagharibu sh. Ngapi yaani itanisumbua roho au watoto wako wanasoma shule ghali ya gani .

umewahi mnunulia mtoto wako gari maana aunt ezekieli anamemzawadia mtoto wake.mdogo gari .

Kuchelewa kuolewa sio nuksi but wanakutana na vilaza mwanaume anataka uparticipate kulea kitu alichokileta duniani.

Na hamjui kutunza familia unatunziwa familia how kwa kidogo mtu anapata ampe hadi.mwanaume ??

Ukijenga anakuja dai kuwa amekuoa nyumba muuze akale na malaya.

Hajui kuwa ulisotaje.kujenga nyumba na pia hata watoto wake hajali wataiishi wapi nyumba ikiuzwa . Hana muda nao wala hajui watoto wanakula nini .

Hivi mnadhani mtu tu aende kwa machizi kama hayoo . Maburee kabisa . LOH HAPANA . Ukiwa single ni bora kuliko mtu akuoe ukamtunze na watoto wake
Jesus! Mpaka hapa umethibitisha kwanini una 34 na haujaolewa, niseme tu hapa unatuambia we ni malay* bila kusema malay*!

Endeleeni kujipa moyo kwa huo umri ni aiza utafutwe na wagane,wanaume wa watu,vivulana au simps. Hakuna mwanaume mwenye akili timamu na financially stable aoe mwanamke mwenye miaka 34 na akili kama zako.
 
Back
Top Bottom