Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Unaweza kupunguza sauti ndugu?Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba.
Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini.
Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale.
Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini.
Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa raba, jinsi na t-shirts kali mliokuwa mnawapapatikia, kipi kimewatokeeni??
Leo hii wavaa vitenge ndio wamekuwa retirement plan baada ya kufanya um@laya wenu na K kuchakaa, eti??
Hayo magonjwa mliyoyaokota huko, mimi niyapeleke wapi??
Maana Trump kakata mirija huko sasa ili watu watembelee walau chork ni vyema sauti ikawa chini ,nisamehe mkuu!