Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Yale mayeboyebo yako leo nisiyakute....Wanakuja kukupa mwongozo
Ni tabia za kimbea tu. Unataka mke wa mtu apendeze ili umfanye nini?Mkuu wewe ni nani amekutuma uongelee wake za wanaume wenzako? Rekebisha hapo kwako kwanza achana na mambo ya watu.
Babu kwani bibi yetu huwa anapendeza?Ni tabia za kimbea tu. Unataka mke wa mtu apendeze ili umfanye nini?
Unahitaji miwani, mbona ni sandals za Michael Kors.Yale mayeboyebo yako leo nisiyakute....
Utarudi Tandale
Ananipendezea mimi, sio wahuniBabu kwani bibi yetu huwa anapendeza?
Ndio inavyotakiwa. Anatakiwa apige ile mikato ambayo huwa unaielewa wewe. Haijalishi watu wengine watasema nini au wataona aje.Ananipendezea mimi, sio wahuni
Ewaaa... sasa huyu mhuni anataka mke wangu ampendezee yeye. LaanakumNdio inavyotakiwa. Anatakiwa apige ile mikato ambayo huwa unaielewa wewe. Haijalishi watu wengine watasema nini au wataona aje.
WammendeeNi tabia za kimbea tu. Unataka mke wa mtu apendeze ili umfanye nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii tabia imekuwa kero sana hasa kwa wanawake walioolewa yaani ukimkuta nyumbani unashindwa kutofautisha mama mwenye nyumba ni yupi na house girl ni yupi.
Yaani wote wanavaa nguo kama vibarua fulani hivi waliochoka na maisha, utakuta wife mara kavaa yeboyebo hata sio saizi yake, mara kandambili tofauti mara kavaa msweta wa ajabu ajabu!
Tunaomba vile mnavyovutia mkiwa barabarani basi wavutieni waume zenu huko majumbani kwenu!
Maana wanaume waliooa wanaogopa sana kuwapeleka marafiki zao nyumbani maana unaweza kumkuta wife alivyo shagalabagala hadi ukaona aibu ya mwaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukiamkia kuoga na kupaka mapouda mnatuona slay kwini.
Ila wanaume mna matatizo[emoji23][emoji23]. Mkirudi mkikuta tumeulamba mnaanza kununa huku mnauliza "ulikuwa wapi, mbona umevaa hivi".
Apendeze wapi, ninavyosikia babu yako hajawahi kumnunulia hata kangaBabu kwani bibi yetu huwa anapendeza?
Hela yake yote huwa anakunywa KVantApendeze wapi, ninavyosikia babu yako hajawahi kumnunulia hata kanga