Wanawake mlioolewa badilikeni

Wanawake mlioolewa badilikeni

Wanajua wameisha maliza kila kitu hawaitaji kukuvutia tena kumbe mvuto bado unatakiwa ata akiwa kazeeka
 
Uzi unaogopesha sana.Wife-material kavaa yeboyebo oversized na tisheti imepauka ya Voice and data communication/Vodacom kama desk-clerk wao?😂😂😂😂
 
Hii tabia imekuwa kero sana hasa kwa wanawake walioolewa yaani ukimkuta nyumbani unashindwa kutofautisha mama mwenye nyumba ni yupi na house girl ni yupi.

Yaani wote wanavaa nguo kama vibarua fulani hivi waliochoka na maisha, utakuta wife mara kavaa yeboyebo hata sio saizi yake, mara kandambili tofauti mara kavaa msweta wa ajabu ajabu!

Tunaomba vile mnavyovutia mkiwa barabarani basi wavutieni waume zenu huko majumbani kwenu!

Maana wanaume waliooa wanaogopa sana kuwapeleka marafiki zao nyumbani maana unaweza kumkuta wife alivyo shagalabagala hadi ukaona aibu ya mwaka.
Hahaha
 
Back
Top Bottom