Wanawake mlioolewa kubalini jambo moja; mnaweza kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi lakini hamuwezi kukaa bila kuwa na mwanaume

Wanawake mlioolewa kubalini jambo moja; mnaweza kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi lakini hamuwezi kukaa bila kuwa na mwanaume

Execute

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
3,000
Reaction score
7,336
Dada zangu mlioolewa (hasa wenye kipato endelevu) ambao mpo kwenye umri kati ya miaka 25 na 40 naomba niwaambie hili jambo na msilisahau.

Hii tabia ya kuamua kwenda kuomba talaka au kuamua kuachana na waume zenu kwasababu tu mnacho kipato inawatesa sana baada ya muda.

Nimeumia sana kuona wanawake wengi wenye vipato vizuri wakiishia kuteseka na watoto huku wakihangaika kulazimisha wanaume wengine wachukue nafasi za waume wao.

Dada, ukishaanza kuishi na mume basi tambua maisha yako hayatakuja kuwa vile yalikuwa before. Siku zote utahitaji sauti ya mwanaume na hiyo itakufanya uangukie kwa wengi.

Kwanini usijishushe ukatengeneza ndoa yako na mumeo?
 
kama huyu eti nae anataka ndoa, tena aolewe na mwanaume aliyetulia.

mothf***
FB_IMG_1678628325478.jpg
 
Back
Top Bottom