Kama mnavojua kwenye jamii yetu wanawake huoelewa wakiwa tayari na mtu yoyote ambae kwa wakati huo anajitokeza.. mara nyingi wanakuwa ni wale watu ambao tuna waweka pending huku tukiwasikilizia watu wetu tunaowapenda watuoe, jambo linaloshindikana na kuamua kuolewa na yoyote. Sasa na mimi naona kama yanataka kunikuta hayo mambo
Niwe mkweli tu baada ya kuona mahusiano yangu na huyo kijana hayaeleweki nikatafuta backup ambayo now tuna miezi michache tu
Huyo niliekuwa nae naona hanipendi maana leo ni wiki ya pili hajanitafuta na mimi sijamtafuta kiufupi hatuongeleshani.. sasa sijui tumeachana ama la
Sasa huyu nilienae now naona tu tupo normal, japo sijui mengi kuhusu yeye ila angalau najisikia na mimi napendwa tofauti na yule wa mwanzo
Cha kushangaza tangu nipate kazi kuna hali fulani nakutana na watu ambao wanataka kunioa wawili tumejuana miaka hii hii wengine miaka ya nyuma…
Kila kijana anasema anataka kunioa aje nyumbani… hiki kitu kinanichanganya haswa kutoa maamuzi yupi sahihi
Hawataki mahusiano ya dating wanataka kuja home kufanya process
Vijana watatu ni church boy(walokole)wawili ni wa kawaida tu sio watu wa kanisani kihivyo.. hao wote naowataja ni tofauti na huyu ambae na date nae now.. yeye hajawai kunitamkia kuwa anataka kunioa now.. anasema tu tuombe Mungu mapenzi yake yafanyike,, pia tuzidi kufahamiana..
Katika hao wa 5 ambao angalau wana sifa zangu ni wawili tu.. japo sijawaelewa kihivyo,,
Sasa mimi napata kigugumizi sijui ndio milango kufunguka au majaribu tu
Hakuna niliempa jibu la ndio au hapana.. ni kama nimewaweka njiapanda..
Ninae date nae now sio kwamba nampenda kihivyo ni vile tu yule wa mwanzo hanizingatii nikaamua kumkubali huyu,, japokuwa huyu hata akisema ananioa nitakubali maana ana vigezo vyote vya kuwa mume
Sasa hapa nilitaka muongozo haswa kwa wanawake wenzangu, mliweza vipi kucheza na hii hali mpka ukaolewa.. maana kuna muda nawaza nijilipue tu lakini naogopa what if nikaingia huko kumbe nimekurupuka..
mimi dada enu age go kidogo 28-25 umri wangu una range hapo