- Thread starter
- #21
Sifahamu mkuu..unakataa au unabisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifahamu mkuu..unakataa au unabisha?
Una wanaume watano unacheza na hisia zao, baki na mmoja alafu uje tukushauri.Nani kasema amewapanga… usikurupuke soma uelewe
Yeah, itakuwa ni good choiceKwaiyo niendelee kutulia eeh
Dada kwani huna D 2 eeh.. mbona nimesema nina date na mtu mmoja hao watano wote ni wale wanaonifuata kwa lengo la kutaka kunioa.. hakuna niliemkubali wako pending mkuuUna wanaume watano unacheza na hisia zao, baki na mmoja alafu uje tukushauri.
Sawa mama mtuYeah, itakuwa ni good choice
Navurugwa yaani sijui ni kweli wakati wa Mungu au laaLazima ukose maamuzi,. Watu5 sio mchezo
Vipi mkuuDuuh
Kaa chini tulia,. Omba Mungu namaanisha sali sana ili Uweze kuona yupi ni sahihi na ufanye maamuziNavurugwa yaani sijui ni kweli wakati wa Mungu au laa
baada ya kuona mahusiano yangu na huyo kijana hayaeleweki nikatafuta backup
Kundi ni kubwa mama , hapo unaweza ukajichanganya asee ! Wapunguze kwanza angalau ubakize wawili tu ndo ulinganishe vigezo ! Upite na mmoja wao !Kama mnavojua kwenye jamii yetu wanawake huoelewa wakiwa tayari na mtu yoyote ambae kwa wakati huo anajitokeza.. mara nyingi wanakuwa ni wale watu ambao tuna waweka pending huku tukiwasikilizia watu wetu tunaowapenda watuoe, jambo linaloshindikana na kuamua kuolewa na yoyote
Sasa na mimi naona kama yanataka kunikuta hayo mambo
Niwe mkweli tu baada ya kuona mahusiano yangu na huyo kijana hayaeleweki nikatafuta backup ambayo now tuna miezi michache tu
Huyo niliekuwa nae naona hanipendi maana leo ni wiki ya pili hajanitafuta na mimi sijamtafuta kiufupi hatuongeleshani.. sasa sijui tumeachana ama la
Sasa huyu nilienae now naona tu tupo normal, japo sijui mengi kuhusu yeye ila angalau najisikia na mimi napendwa tofauti na yule wa mwanzo
Cha kushangaza tangu nipate kazi kuna hali fulani nakutana na watu ambao wanataka kunioa wawili tumejuana miaka hii hii wengine miaka ya nyuma…
Kila kijana anasema anataka kunioa aje nyumbani… hiki kitu kinanichanganya haswa kutoa maamuzi yupi sahihi
Hawataki mahusiano ya dating wanataka kuja home kufanya process
Vijana watatu ni church boy(walokole)wawili ni wa kawaida tu sio watu wa kanisani kihivyo.. hao wote naowataja ni tofauti na huyu ambae na date nae now.. yeye hajawai kunitamkia kuwa anataka kunioa now.. anasema tu tuombe Mungu mapenzi yake yafanyike,, pia tuzidi kufahamiana..
Katika hao wa 5 ambao angalau wana sifa zangu ni wawili tu.. japo sijawaelewa kihivyo,,
Sasa mimi napata kigugumizi sijui ndio milango kufunguka au majaribu tu
Hakuna niliempa jibu la ndio au hapana.. ni kama nimewaweka njiapanda..
Ninae date nae now sio kwamba nampenda kihivyo ni vile tu yule wa mwanzo hanizingatii nikaamua kumkubali huyu,, japokuwa huyu hata akisema ananioa nitakubali maana ana vigezo vyote vya kuwa mume
Sasa hapa nilitaka muongozo haswa kwa wanawake wenzangu, mliweza vipi kucheza na hii hali mpk ukaolewa.. maana kuna muda nawaza nijilipue tu lakini naogopa what if nikaingia huko kumbe nimekurupuka..
mimi dada enu age go kidogo 28-25 umri wangu una range hapo
🤣 Ukishayatimba huko ni balaa , utapata wapi nafasi ya kubadilika wakati mtu michezo yake ni ile akipanic anatoa bastola au anaandaa gunia la mkaaKaa chini tulia,. Omba Mungu namaanisha sali sana ili Uweze kuona yupi ni sahihi na ufanye maamuzi
Kingine usiogope sana kiasi cha kuwaza huko mbele itakuwaje,. Hiyo ni fear of Unknown wachana nayo kabisa,. Mambo yakibadilika na wewe utabadilikaga tu huko mbele maisha mafupi haya
Sema anaonekana mwenyewe bado hajui anataka nini na kuolewa bado anataka,.🤣 Ukishayatimba huko ni balaa , utapata wapi nafasi ya kubadilika wakati mtu michezo yake ni ile akipanic anatoa bastola au anaandaa gunia la mkaa
Umeshauri kama Dada kabisa , asiposikiliza hapa basi !😂😂😂
Mwanamke wewe tulia na uliza kichwa.. Utadumbukia pabaya ni kama unataka iweje wee mwenyewe.. Mwili wako usije onyesha kila mtu kisa huyo eti wiki mbili tu..
Ya backup wanaume wengi humu lazima umewaweza... 🤣🤣🤣🤣 Sasa nae unaona hafai... Tulia tulia kaa mbali na wanaume kwa muda uji tafakari.. Maumivu ya huyo aliye nyama za yakutoke kwanza.
Hujafika kwenye ndoa.. Tayari unataka ndoa na upo hivyo!!!!! .. Tulia
Mtu hauna uhusiano nae anataka kukupa, embu tuambie unawaambia nini naona kama upo kidesperado aka kicheche unawaonyesha Tamara ya kutolewa ila haufunguki huku kiuwekli.
Tulia bana miguu kwa sasa.. Ukisali mwema akujie utajua tu na utaolewa.
Kwa kweli ndo changamoto pia za kukimbizana na umri mtu anafikiri akifika umri fulani basi yeye lazima awe ameoa au ameolewa kumbe na utayari ni muhimu piaSema anaonekana mwenyewe bado hajui anataka nini na kuolewa bado anataka,.
Wanawake tuna kazi sana walahi
Aombe tu Mungu kila kitu kinawezekanaKwa kweli ndo changamoto pia za kukimbizana na umri mtu anafikiri akifika umri fulani basi yeye lazima awe ameoa au ameolewa kumbe na utayari ni muhimu pia
Na usikute wao ndo wanacheza na moyo wake ! Siku hizi viumbe tumekua wakatili sanaUna wanaume watano unacheza na hisia zao, baki na mmoja alafu uje tukushauri.
Nini tatizo mkuu makutuporaAiseee! ... Nimelia sana mkuu