Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Kwa umri huo ukiendelea kuchagua sana utaangukia mikononi mwa MZEE MSTAAFU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh sijaelewa dada nimesema wapi hapoUmeshasema upo kwenye mahusiano ambayo hujui yanahusiana na nini,ila bado unataka kuolewa alooh
DuuhKwa umri huo ukiendelea kuchagua sana utaangukia mikononi mwa MZEE MSTAAFU
Kwan we hauna vigezo vya mwanaume umtakae,kama una vigezo vitano,ukampata mwenye vitatu ruka nae,maana hakuna mkamilifuNifundishe kuomba basi kuhusu kujua yupi sahihi mimi nashindwa
Hamna ni kawaid tu, Kwenye maombi yako ya Asubuhi na Usiku unaingizia na hilo suala..Nifundishe kuomba basi kuhusu kujua yupi sahihi mimi nashindwa
Duuh wapi nimesema hivyo mkuu… lala kwanza utarudia kusoma Asubuhi naona una usinguziKwahyo pipd za wanaume wote watano zinakulomba🥶
mdogo wangu ndo hivyo maana kadri umri ukienda unapata wa umri wa juu yako,mfano mimi waifu namzidi miaka 5Duuh
Ndicho kinachoniumiza sana hiko mkuu!Kweli Ni viumbe wa thamani lakin Kuna mda hawaeleweki
Hivi unaweza kuomba huku ukiwa tayari una mtu au unamuacha kwanza ndio unaanza kuomba upya Mungu akupeKwan we hauna vigezo vya mwanaume umtakae,kama una vigezo vitano,ukampata mwenye vitatu ruka nae,maana hakuna mkamilifu
Rudia kusoma paragraph uliyoandika huyu niliyenae naona tuko normal tu japo si japo sijui vitu vingi kuhusu yeye....Dada hapo ipo kwenye mahusiano usiyojua yanahusiana na nini.Mmh sijaelewa dada nimesema wapi hapo
NimechekaNdicho kinachoniumiza sana hiko mkuu!
Nakumbuka miaka hiyo nipo chuo! Nilikuwa na brother ambaye alikuwa amenitangulia since advance level
So alinipokea chuo kama mwenyeji wangu! Yule jamaa kwao ni maisha safiii ... Chuo ana gari, n.k!
Siku moja nipo nae akaniambia "Mdogo angu Mimi hakuna mwanamke anayeweza kunikitaa kama nitahitaji kumla "
Aliongea kwa dharau yaaani hawezi kumkosa mwanamke anayemtaka
Niliumia Sanaa!
Alikuja kupigwa tukio hiloooo! Mpk sasa hivi amebadilika amekuwa mtu mwema 😂
Sanaaaa! Yamkini unaweza kuona sawa namna unavyojichukulia!Kwani hapo mkuu kuna sehemu nimejishusha thamani
Huyu nilienae saivi ananizidi miaka 7 na ndio nilitamani nipate wa range hiyo.. sasa hawa wanaonesha nia wote mkubwa sana kanizidi miaka 4mdogo wangu ndo hivyo maana kadri umri ukienda unapata wa umri wa juu yako,mfano mimi waifu namzidi miaka 5
Unanitafuta maneno tu 😂 semajiNimecheka
hofu yangu usije kua damaged good kabichi ilooza tupa kule,Kama mnavojua kwenye jamii yetu wanawake huoelewa wakiwa tayari na mtu yoyote ambae kwa wakati huo anajitokeza.. mara nyingi wanakuwa ni wale watu ambao tuna waweka pending huku tukiwasikilizia watu wetu tunaowapenda watuoe, jambo linaloshindikana na kuamua kuolewa na yoyote. Sasa na mimi naona kama yanataka kunikuta hayo mambo
Niwe mkweli tu baada ya kuona mahusiano yangu na huyo kijana hayaeleweki nikatafuta backup ambayo now tuna miezi michache tu
Huyo niliekuwa nae naona hanipendi maana leo ni wiki ya pili hajanitafuta na mimi sijamtafuta kiufupi hatuongeleshani.. sasa sijui tumeachana ama la
Sasa huyu nilienae now naona tu tupo normal, japo sijui mengi kuhusu yeye ila angalau najisikia na mimi napendwa tofauti na yule wa mwanzo
Cha kushangaza tangu nipate kazi kuna hali fulani nakutana na watu ambao wanataka kunioa wawili tumejuana miaka hii hii wengine miaka ya nyuma…
Kila kijana anasema anataka kunioa aje nyumbani… hiki kitu kinanichanganya haswa kutoa maamuzi yupi sahihi
Hawataki mahusiano ya dating wanataka kuja home kufanya process
Vijana watatu ni church boy(walokole)wawili ni wa kawaida tu sio watu wa kanisani kihivyo.. hao wote naowataja ni tofauti na huyu ambae na date nae now.. yeye hajawai kunitamkia kuwa anataka kunioa now.. anasema tu tuombe Mungu mapenzi yake yafanyike,, pia tuzidi kufahamiana..
Katika hao wa 5 ambao angalau wana sifa zangu ni wawili tu.. japo sijawaelewa kihivyo,,
Sasa mimi napata kigugumizi sijui ndio milango kufunguka au majaribu tu
Hakuna niliempa jibu la ndio au hapana.. ni kama nimewaweka njiapanda..
Ninae date nae now sio kwamba nampenda kihivyo ni vile tu yule wa mwanzo hanizingatii nikaamua kumkubali huyu,, japokuwa huyu hata akisema ananioa nitakubali maana ana vigezo vyote vya kuwa mume
Sasa hapa nilitaka muongozo haswa kwa wanawake wenzangu, mliweza vipi kucheza na hii hali mpka ukaolewa.. maana kuna muda nawaza nijilipue tu lakini naogopa what if nikaingia huko kumbe nimekurupuka..
mimi dada enu age go kidogo 28-25 umri wangu una range hapo
Asante kwa kunisaidia hili hapa ndipo na Mimi nilipoumia hadi kulia machoziiiiRudia kusoma paragraph uliyoandika huyu niliyenae naona tuko normal tu japo si japo sijui vitu vingi kuhusu yeye....Dada hapo ipo kwenye mahusiano usiyojua yanahusiana na nini.
Mkuu tuna miezi 2 hapo sasa kuna future yoyote… maana hata kumpenda bado ndio najifunza.. halafu kama mnavyojijua wenyewe mwanaume anaejielewa hawezi kutongoza kwa gia ya ndoa.. mpk akuelewe sana ndio atazungumzia suala la kuoaSanaaaa! Yamkini unaweza kuona sawa namna unavyojichukulia!
Ila kwa Mimi ambaye Nina waheshimu sana wanawake naona umejishusha thamani!
Yaani unawezaje ku date na kuwa huru na mtu ambaye unaona Hana future na wewe?
Labda tunaona tofauti! Mtazamo