- Thread starter
- #101
Ooh sauwaaWakati wa Mungu ukifikA UTAOLEWA TU USIPANIC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh sauwaaWakati wa Mungu ukifikA UTAOLEWA TU USIPANIC
Nimetuliajaribu kukituliza japo kidogo....
Sawa dearYeah, itakuwa ni good choice
Hii mbaya aisee… na humo ndani nasikia ni pamoto🤣 Ukishayatimba huko ni balaa , utapata wapi nafasi ya kubadilika wakati mtu michezo yake ni ile akipanic anatoa bastola au anaandaa gunia la mkaa
Kivipi mkuuOngea na spiritualist Hapa nikusaidie
Mkuu unalo la kufanya ... NtakwambiaNifanye nini mkuu ndio maisha.. mngekuwa wanaume wote wako kama wewe… kusingekuwa na single maza
Basi hujawa tayari , ni kitu ambacho unakitaka for funny tu 🤣 ikiwa uhitaji wako kweli hadi kufunga utafunga na Novena zote utasali !!Hapo kwenye kuomba Mungu ndio napopataka sijui kwanini nashindwa kuomba ni kama siwezi nikijaribu najikuta nacheka like seriously mimi huyo wa kuomba mume sijui what is happening to mimi
🤣🤣 Ni hatari aseee mtu anakukera ila kulala na chupi marufuku bado , upike , ufue kitanda umtandikie bado uigize kwenye jamii kwamba unampenda na kumuheshimu mumeo !Hii mbaya aisee… na humo ndani nasikia ni pamoto
Unakuta mwanamke yupo mzito sana kwenye mawasiliano kumbe amekuweka backup. Ukimpotezea na ukamsahau ukaendelea na mambo yako unashangaa baada ya mipango yake kufeli miezi 4 ndiyo anakutafuta. Hapo akili wala moyoni hayupo tena na wewe unamuweka backup.Ooh sauwaa
Acha kujiuzaKama mnavojua kwenye jamii yetu wanawake huoelewa wakiwa tayari na mtu yoyote ambae kwa wakati huo anajitokeza.. mara nyingi wanakuwa ni wale watu ambao tuna waweka pending huku tukiwasikilizia watu wetu tunaowapenda watuoe, jambo linaloshindikana na kuamua kuolewa na yoyote. Sasa na mimi naona kama yanataka kunikuta hayo mambo
Niwe mkweli tu baada ya kuona mahusiano yangu na huyo kijana hayaeleweki nikatafuta backup ambayo now tuna miezi michache tu
Huyo niliekuwa nae naona hanipendi maana leo ni wiki ya pili hajanitafuta na mimi sijamtafuta kiufupi hatuongeleshani.. sasa sijui tumeachana ama la
Sasa huyu nilienae now naona tu tupo normal, japo sijui mengi kuhusu yeye ila angalau najisikia na mimi napendwa tofauti na yule wa mwanzo
Cha kushangaza tangu nipate kazi kuna hali fulani nakutana na watu ambao wanataka kunioa wawili tumejuana miaka hii hii wengine miaka ya nyuma…
Kila kijana anasema anataka kunioa aje nyumbani… hiki kitu kinanichanganya haswa kutoa maamuzi yupi sahihi
Hawataki mahusiano ya dating wanataka kuja home kufanya process
Vijana watatu ni church boy(walokole)wawili ni wa kawaida tu sio watu wa kanisani kihivyo.. hao wote naowataja ni tofauti na huyu ambae na date nae now.. yeye hajawai kunitamkia kuwa anataka kunioa now.. anasema tu tuombe Mungu mapenzi yake yafanyike,, pia tuzidi kufahamiana..
Katika hao wa 5 ambao angalau wana sifa zangu ni wawili tu.. japo sijawaelewa kihivyo,,
Sasa mimi napata kigugumizi sijui ndio milango kufunguka au majaribu tu
Hakuna niliempa jibu la ndio au hapana.. ni kama nimewaweka njiapanda..
Ninae date nae now sio kwamba nampenda kihivyo ni vile tu yule wa mwanzo hanizingatii nikaamua kumkubali huyu,, japokuwa huyu hata akisema ananioa nitakubali maana ana vigezo vyote vya kuwa mume
Sasa hapa nilitaka muongozo haswa kwa wanawake wenzangu, mliweza vipi kucheza na hii hali mpka ukaolewa.. maana kuna muda nawaza nijilipue tu lakini naogopa what if nikaingia huko kumbe nimekurupuka..
mimi dada enu age go kidogo 28-25 umri wangu una range hapo
Bibi shkamoo😂😂😂
Mwanamke wewe tulia na uliza kichwa.. Utadumbukia pabaya ni kama unataka iweje wee mwenyewe.. Mwili wako usije onyesha kila mtu kisa huyo eti wiki mbili tu..
Ya backup wanaume wengi humu lazima umewaweza... 🤣🤣🤣🤣 Sasa nae unaona hafai... Tulia tulia kaa mbali na wanaume kwa muda uji tafakari.. Maumivu ya huyo aliye nyama za yakutoke kwanza.
Hujafika kwenye ndoa.. Tayari unataka ndoa na upo hivyo!!!!! .. Tulia
Mtu hauna uhusiano nae anataka kukupa, embu tuambie unawaambia nini naona kama upo kidesperado aka kicheche unawaonyesha Tamara ya kutolewa ila haufunguki huku kiuwekli.
Tulia bana miguu kwa sasa.. Ukisali mwema akujie utajua tu na utaolewa.
Karibu unaolewa na "marioo"!Zubazubaa ufurahishwe na kuanza kulea mimtu yenye magego yaliyokomaa.Kama mnavojua kwenye jamii yetu wanawake huoelewa wakiwa tayari na mtu yoyote ambae kwa wakati huo anajitokeza.. mara nyingi wanakuwa ni wale watu ambao tuna waweka pending huku tukiwasikilizia watu wetu tunaowapenda watuoe, jambo linaloshindikana na kuamua kuolewa na yoyote. Sasa na mimi naona kama yanataka kunikuta hayo mambo
Niwe mkweli tu baada ya kuona mahusiano yangu na huyo kijana hayaeleweki nikatafuta backup ambayo now tuna miezi michache tu
Huyo niliekuwa nae naona hanipendi maana leo ni wiki ya pili hajanitafuta na mimi sijamtafuta kiufupi hatuongeleshani.. sasa sijui tumeachana ama la
Sasa huyu nilienae now naona tu tupo normal, japo sijui mengi kuhusu yeye ila angalau najisikia na mimi napendwa tofauti na yule wa mwanzo
Cha kushangaza tangu nipate kazi kuna hali fulani nakutana na watu ambao wanataka kunioa wawili tumejuana miaka hii hii wengine miaka ya nyuma…
Kila kijana anasema anataka kunioa aje nyumbani… hiki kitu kinanichanganya haswa kutoa maamuzi yupi sahihi
Hawataki mahusiano ya dating wanataka kuja home kufanya process
Vijana watatu ni church boy(walokole)wawili ni wa kawaida tu sio watu wa kanisani kihivyo.. hao wote naowataja ni tofauti na huyu ambae na date nae now.. yeye hajawai kunitamkia kuwa anataka kunioa now.. anasema tu tuombe Mungu mapenzi yake yafanyike,, pia tuzidi kufahamiana..
Katika hao wa 5 ambao angalau wana sifa zangu ni wawili tu.. japo sijawaelewa kihivyo,,
Sasa mimi napata kigugumizi sijui ndio milango kufunguka au majaribu tu
Hakuna niliempa jibu la ndio au hapana.. ni kama nimewaweka njiapanda..
Ninae date nae now sio kwamba nampenda kihivyo ni vile tu yule wa mwanzo hanizingatii nikaamua kumkubali huyu,, japokuwa huyu hata akisema ananioa nitakubali maana ana vigezo vyote vya kuwa mume
Sasa hapa nilitaka muongozo haswa kwa wanawake wenzangu, mliweza vipi kucheza na hii hali mpka ukaolewa.. maana kuna muda nawaza nijilipue tu lakini naogopa what if nikaingia huko kumbe nimekurupuka..
mimi dada enu age go kidogo 28-25 umri wangu una range hapo
5 Suitors One Husband.Katika hao wa 5 ambao angalau wana sifa zangu ni wawili tu.. japo sijawaelewa kihivyo,,
Sasa mimi napata kigugumizi sijui ndio milango kufunguka au majaribu tu
Hakuna niliempa jibu la ndio au hapana.. ni kama nimewaweka njiapanda..
Ww hujamwelewa mtoa mada, mtoa mada anataka kuolewa, ila hao wanaume 5 wote wanaotaka kumuoa, hampendi mwanaume hata mmoja kati ya hao 5, mwanaume anaependwa na kadogo2 haeleweki na hapendeki Leejay49Sema anaonekana mwenyewe bado hajui anataka nini na kuolewa bado anataka,.
Wanawake tuna kazi sana walahi
Siku hizi wanawake wanatafuta wanaume wa kuwaoa Ndio mana hakuna ndoa ni mavurugu tu. Mwanamke by nature anapaswa afuatwe kuposwa kupitia Kwa wazazi wake tena atwaliwe kutoka Katika hema ya baba yake! Siku hizi na wao wanatafuta Mume na vigezo wameweka ambavyo wao hata robo hawana! Hii ni Asili ambayo imekiukwaKawaida wanawake huwa hawaolewi na waliowategemea, kwa sababu ya nature, aliyetakiwa kupenda ni mwanaume na sio mwanamke
Wachache sana wanajua hekima hiyo, eti mwanamke anaweka vigezo vya nani amuoe, huwa wanatumia akili kweli, yaani ni sawa na wewe unaomba kazi, lakin kwenye cv umeweka vigezo, kwamba kazi natakiwa nifanye mjini tu, mshahara usioungue milion moja, halafu ukajiita mtafuta kazi hakuna HR atakusumbua kukuita hata kwenye usaili.Siku hizi wanawake wanatafuta wanaume wa kuwaoa Ndio mana hakuna ndoa ni mavurugu tu. Mwanamke by nature anapaswa afuatwe kuposwa kupitia Kwa wazazi wake tena atwaliwe kutoka Katika hema ya baba yake! Siku hizi na wao wanatafuta Mume na vigezo wameweka ambavyo wao hata robo hawana! Hii ni Asili ambayo imekiukwa