Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Karibu chama cha Kataa ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah ila sijawapanga mkuu hakuna niliemkubali wote nimewaweka njiapandahofu yangu usije kua damaged good kabichi ilooza tupa kule,
tumia your own criteria kuselect anaekufaa kulingana na sifa na vigezo vya aina ya mume unae mtaka.
vinginevyo utajuta. Muneo yumo ndani ya hao wanaume wa5 ulowapa namba na ukaanza kuwapanga 🐒
Rudia kusoma paragraph uliyoandika huyu niliyenae naona tuko normal tu japo si japo sijui vitu vingi kuhusu yeye....Dada hapo ipo kwenye mahusiano usiyojua yanahusiana na nini.
Nimesema hivyo ni kwa kuwa tuna miezi 2 so bado sijaona picha…Rudia kusoma paragraph uliyoandika huyu niliyenae naona tuko normal tu japo si japo sijui vitu vingi kuhusu yeye....Dada hapo ipo kwenye mahusiano usiyojua yanahusiana na nini.
Mimi sio kataa ndoa kijanaKaribu chama cha Kataa ndoa
Kweli ngoja niombeeJapo unasema huwapendi angalia ambaye unajua basi utaweza kumuheshimu akikuoa olewa naye, na umuombe Mungu akuonyeshe yapi magugu na yupi mume, au wote magugu tu.
Unaweza dhani kati ya wote hao lazima mmoja akuoe kumbe wote kakumba tu hamna mume.
Wanaume 5.Miujiza bado inatendeka hata sasa
Nimerudi upya.. safari hii sio kulialia ni kuliliwa😂😂😂Kadogoo tena??!! 😹
Hapa ndipo kwenye kwenye tatizo ,neno "kupenda "kunatumika vibaya ,tunaoa au tunaolewa na watu tutakaokuwa tayari kuwapenda sio tunaowapenda.Feelings ulizonazo Leo Kwa yule unasema unampenda ukikaa nae miaka mitano inapotea/kuisha ,swali ni je utaendelea kumpa kipao mbele ?kama jibu ni ndio basi huyo ndio mme.Ndoa inadumu Kwa uchaguzi/choice sio hisia,ndoa za hisia hata mwaka hazimaliziKama mnavojua kwenye jamii yetu wanawake huoelewa wakiwa tayari na mtu yoyote ambae kwa wakati huo anajitokeza.. mara nyingi wanakuwa ni wale watu ambao tuna waweka pending huku tukiwasikilizia watu wetu tunaowapenda watuoe, jambo linaloshindikana na kuamua kuolewa na yoyote. Sasa na mimi naona kama yanataka kunikuta hayo mambo
Niwe mkweli tu baada ya kuona mahusiano yangu na huyo kijana hayaeleweki nikatafuta backup ambayo now tuna miezi michache tu
Huyo niliekuwa nae naona hanipendi maana leo ni wiki ya pili hajanitafuta na mimi sijamtafuta kiufupi hatuongeleshani.. sasa sijui tumeachana ama la
Sasa huyu nilienae now naona tu tupo normal, japo sijui mengi kuhusu yeye ila angalau najisikia na mimi napendwa tofauti na yule wa mwanzo
Cha kushangaza tangu nipate kazi kuna hali fulani nakutana na watu ambao wanataka kunioa wawili tumejuana miaka hii hii wengine miaka ya nyuma…
Kila kijana anasema anataka kunioa aje nyumbani… hiki kitu kinanichanganya haswa kutoa maamuzi yupi sahihi
Hawataki mahusiano ya dating wanataka kuja home kufanya process
Vijana watatu ni church boy(walokole)wawili ni wa kawaida tu sio watu wa kanisani kihivyo.. hao wote naowataja ni tofauti na huyu ambae na date nae now.. yeye hajawai kunitamkia kuwa anataka kunioa now.. anasema tu tuombe Mungu mapenzi yake yafanyike,, pia tuzidi kufahamiana..
Katika hao wa 5 ambao angalau wana sifa zangu ni wawili tu.. japo sijawaelewa kihivyo,,
Sasa mimi napata kigugumizi sijui ndio milango kufunguka au majaribu tu
Hakuna niliempa jibu la ndio au hapana.. ni kama nimewaweka njiapanda..
Ninae date nae now sio kwamba nampenda kihivyo ni vile tu yule wa mwanzo hanizingatii nikaamua kumkubali huyu,, japokuwa huyu hata akisema ananioa nitakubali maana ana vigezo vyote vya kuwa mume
Sasa hapa nilitaka muongozo haswa kwa wanawake wenzangu, mliweza vipi kucheza na hii hali mpka ukaolewa.. maana kuna muda nawaza nijilipue tu lakini naogopa what if nikaingia huko kumbe nimekurupuka..
mimi dada enu age go kidogo 28-25 umri wangu una range hapo
Mkuu! Please usizidi kuniumiza moyo! Unanilizaaa!Mkuu tuna miezi 2 hapo sasa kuna future yoyote… maana hata kumpenda bado ndio najifunza.. halafu kama mnavyojijua wenyewe mwanaume anaejielewa hawezi kutongoza kwa gia ya ndoa.. mpk akuelewe sana ndio atazungumzia suala la kuoa
Na mimi sitaki kumpa pressure mtu anioe nataka aamue yeye
Ogopa sana hao ma Church boy fix sanaKama mnavojua kwenye jamii yetu wanawake huoelewa wakiwa tayari na mtu yoyote ambae kwa wakati huo anajitokeza.. mara nyingi wanakuwa ni wale watu ambao tuna waweka pending huku tukiwasikilizia watu wetu tunaowapenda watuoe, jambo linaloshindikana na kuamua kuolewa na yoyote. Sasa na mimi naona kama yanataka kunikuta hayo mambo
Niwe mkweli tu baada ya kuona mahusiano yangu na huyo kijana hayaeleweki nikatafuta backup ambayo now tuna miezi michache tu
Huyo niliekuwa nae naona hanipendi maana leo ni wiki ya pili hajanitafuta na mimi sijamtafuta kiufupi hatuongeleshani.. sasa sijui tumeachana ama la
Sasa huyu nilienae now naona tu tupo normal, japo sijui mengi kuhusu yeye ila angalau najisikia na mimi napendwa tofauti na yule wa mwanzo
Cha kushangaza tangu nipate kazi kuna hali fulani nakutana na watu ambao wanataka kunioa wawili tumejuana miaka hii hii wengine miaka ya nyuma…
Kila kijana anasema anataka kunioa aje nyumbani… hiki kitu kinanichanganya haswa kutoa maamuzi yupi sahihi
Hawataki mahusiano ya dating wanataka kuja home kufanya process
Vijana watatu ni church boy(walokole)wawili ni wa kawaida tu sio watu wa kanisani kihivyo.. hao wote naowataja ni tofauti na huyu ambae na date nae now.. yeye hajawai kunitamkia kuwa anataka kunioa now.. anasema tu tuombe Mungu mapenzi yake yafanyike,, pia tuzidi kufahamiana..
Katika hao wa 5 ambao angalau wana sifa zangu ni wawili tu.. japo sijawaelewa kihivyo,,
Sasa mimi napata kigugumizi sijui ndio milango kufunguka au majaribu tu
Hakuna niliempa jibu la ndio au hapana.. ni kama nimewaweka njiapanda..
Ninae date nae now sio kwamba nampenda kihivyo ni vile tu yule wa mwanzo hanizingatii nikaamua kumkubali huyu,, japokuwa huyu hata akisema ananioa nitakubali maana ana vigezo vyote vya kuwa mume
Sasa hapa nilitaka muongozo haswa kwa wanawake wenzangu, mliweza vipi kucheza na hii hali mpka ukaolewa.. maana kuna muda nawaza nijilipue tu lakini naogopa what if nikaingia huko kumbe nimekurupuka..
mimi dada enu age go kidogo 28-25 umri wangu una range hapo
🤣🤣🤣Wanaume 5.
Kumbe wanaume tumeshuka thamani kiasi hiki?
kina nani hao mkuuNadhani nivizuri wakijibu wenyewe na sikujibiwa hata mimi nataman kusikia kutoka kwao wenyewe.
Situation ngumu hiyo ndoa zetu za milele amina hatari hiziWanawake hawajui wanataka nini
Yeah na mimi nawaza haswa kusalitiwa Bora ujue huyu ana tabia hizi unajua unaishi nae vipi kuliko kujifanya wa kanisani halafu mnazinguanaOgopa sana hao ma Church boy fix sana
Wanajibu wanaume huku uzi unataka wanawake tena wanajibu kiufasaha kabisa🤣🤣🤣
kina nani hao mkuu
NtarudiKama mnavojua kwenye jamii yetu wanawake huoelewa wakiwa tayari na mtu yoyote ambae kwa wakati huo anajitokeza.. mara nyingi wanakuwa ni wale watu ambao tuna waweka pending huku tukiwasikilizia watu wetu tunaowapenda watuoe, jambo linaloshindikana na kuamua kuolewa na yoyote. Sasa na mimi naona kama yanataka kunikuta hayo mambo
Niwe mkweli tu baada ya kuona mahusiano yangu na huyo kijana hayaeleweki nikatafuta backup ambayo now tuna miezi michache tu
Huyo niliekuwa nae naona hanipendi maana leo ni wiki ya pili hajanitafuta na mimi sijamtafuta kiufupi hatuongeleshani.. sasa sijui tumeachana ama la
Sasa huyu nilienae now naona tu tupo normal, japo sijui mengi kuhusu yeye ila angalau najisikia na mimi napendwa tofauti na yule wa mwanzo
Cha kushangaza tangu nipate kazi kuna hali fulani nakutana na watu ambao wanataka kunioa wawili tumejuana miaka hii hii wengine miaka ya nyuma…
Kila kijana anasema anataka kunioa aje nyumbani… hiki kitu kinanichanganya haswa kutoa maamuzi yupi sahihi
Hawataki mahusiano ya dating wanataka kuja home kufanya process
Vijana watatu ni church boy(walokole)wawili ni wa kawaida tu sio watu wa kanisani kihivyo.. hao wote naowataja ni tofauti na huyu ambae na date nae now.. yeye hajawai kunitamkia kuwa anataka kunioa now.. anasema tu tuombe Mungu mapenzi yake yafanyike,, pia tuzidi kufahamiana..
Katika hao wa 5 ambao angalau wana sifa zangu ni wawili tu.. japo sijawaelewa kihivyo,,
Sasa mimi napata kigugumizi sijui ndio milango kufunguka au majaribu tu
Hakuna niliempa jibu la ndio au hapana.. ni kama nimewaweka njiapanda..
Ninae date nae now sio kwamba nampenda kihivyo ni vile tu yule wa mwanzo hanizingatii nikaamua kumkubali huyu,, japokuwa huyu hata akisema ananioa nitakubali maana ana vigezo vyote vya kuwa mume
Sasa hapa nilitaka muongozo haswa kwa wanawake wenzangu, mliweza vipi kucheza na hii hali mpka ukaolewa.. maana kuna muda nawaza nijilipue tu lakini naogopa what if nikaingia huko kumbe nimekurupuka..
mimi dada enu age go kidogo 28-25 umri wangu una range hapo
Nisikufiche tangu niache kanisani shetani kanifunga hata kuomba nashindwa.. naombaga mda wa kula na kulala tuHamna ni kawaid tu, Kwenye maombi yako ya Asubuhi na Usiku unaingizia na hilo suala..
Kama huwa una utaratibu wa kufanya fasting kwenye nia zako unaiweka na hiyo,
" Omba ukutane na Mtu sahihi wa Maisha yako " Au kama unaamini kuomba kupitia Novena za watakatifu mbalimbali Just do it
Wana experience labdaWanajibu wanaume huku uzi unataka wanawake tena wanajibu kiufasaha kabisa
LiniNtarudi
KumbeHapa ndipo kwenye kwenye tatizo ,neno "kupenda "kunatumika vibaya ,tunaoa au tunaolewa na watu tutakaokuwa tayari kuwapenda sio tunaowapenda.Feelings ulizonazo Leo Kwa yule unasema unampenda ukikaa nae miaka mitano inapotea/kuisha ,swali ni je utaendelea kumpa kipao mbele ?kama jibu ni ndio basi huyo ndio mme.Ndoa inadumu Kwa uchaguzi/choice sio hisia,ndoa za hisia hata mwaka hazimalizi
Nifanye nini mkuu ndio maisha.. mngekuwa wanaume wote wako kama wewe… kusingekuwa na single mazaMkuu! Please usizidi kuniumiza moyo! Unanilizaaa!
Namshukuru Mungu kuzaliwa wa mwisho na Sina mdogo wa kike!
Unawezaje kuingia kwenye mahusiano na mtu wakati humpendi? So kilichokuvuta kwake ni Nini?
So wakati unaendelea kujifunza kumpendaaa unamvulia na nguo? Ukielewa ninachopigia kelele hata ni namna ya kutunza thamani yako
Basi ungenilewa kwanini nimelia sana!
Ko kama mtu Hana future na wewe akaamua tu kukutumia kwa muda mfupi afu akapita hivi utajiskiaje?
Nilieleza Jana sehemu nikasema! Mimi naweza kukaa single muda mrefu kwa sababu naogopa sana kuingia kwenye mahusiano ya kujaribu!