simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,216
Hakuna kitu inakata stim kama harufu ya minyweleUkichanganya na kunuka nywele ndo kabisa
HapanaImekuuma hii miss chagga .???
Nyiee JamAa punguzen bana hawaa watuu hawapendagii kuambiwaa ukweliiii ndio nature yao ndio maan! Wanafume sanaaTabia kama hizi za wanawake wa dar kutoheshimu wanaume ndiyo zinasababisha muendelee kuwa viwanda vya watoto bila ndoa..