mwandende JR
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,090
- 1,336
we bado una sifa za kiutamaduni.haikuhusu hii.Hapana
Kabisa mkuuwe bado una sifa za kiutamaduni.haikuhusu hii.
Unawezaje kupenda bila kutaman ???? Unatamatika kisha unapenda.Mapenzi na Matamanio ni vitu viwili tofauti..
Kazi ipo huwa mnaridhikaga nyie? Tuanzie hapo kwanza
Kazi ipo huwa mnaridhikaga nyie? Tuanzie hapo kwanza
Punguzaa hasiraa!!! Haina haja ya kutukana! Ping kwa hojaKwani tukiishia kuitwa single mum wewe kinachokuuma nini au Unapungukiwa nini??
Au unaona donge tunavopigwa mikuyenge unataka upigwe wewe na mimba ubebe wewe !!