Wanawake mmezidi mawigi yananuka kweli!

Wanawake mmezidi mawigi yananuka kweli!

Kuna mawigi yanatisha,unakuta mdada kavaa wigi limekaa kama Shumileta,au kama manyoya ya shingoni ya simba dume
 
Kuna dada alinisogelea nikasema wtf is this?..haisikii harufu mbaya inayotoka kwake?

Yeye ilikuwa ni rasta kasukia..zinatema balaa
 
Back
Top Bottom