Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Doooh naona wametuamuliaπππ
Amesahau bra nyeusiππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Doooh naona wametuamuliaπππ
Depalπ€£π€£ halafu wana kale katabia anapikicha na kidole halafu ana nusaa ku test mzigo, au wale fungus sijui chawa/bacteria wakimuwasha unaona akipiga bichwa, paaa.. paaa,then anakausha kama sio yeye, yale ni mateso..
π€£π€£π€£ππ€£ hatari sanaDoooh naona wametuamuliaπππ
Amesahau bra nyeusiππ
Nimeimagin hapa nimecheka sanaπππPaa paaa paaaa π€£π€£πππ
Mengine hayafuliki jamani πSiyo kwamba ni uvivu au?
Kama ni joto mbona nguo za ndani hamuachi kuzifua (Nje ya mada)...
Me nimejaribu kabisa π€£Nimeimagin hapa nimecheka sanaπππ
Ya bei gani hayo?Mengine hayafuliki jamani π
Ukilifua linazeeka hapo hapo.
7000/= πππYa bei gani hayo?
Kuna wigi la bei hiyo kweli? Acha utani wako?7000/= πππ
Mengine hayafuliki jamani π
Ukilifua linazeeka hapo hapo.
π π π nawafool wasionijua kama nina kipilipiliKwani lazima hayo madude. Hivi ukiweka kipilipili chako safi kama Nancy Sumari, unapungukiwa nini? Kila mtu anajua kuwa Waafrika tuna nywele fupi? Nani unajaribu kum-fool?
πππππKuna wigi la bei hiyo kweli? Acha utani wako?
Hilo litakua siyo wigi bali zile nyavu mnazovaaga kichwani...
Acha ukorofiππππ π π nawafool wasionijua kama nina kipilipili
Raha sanaaa ππππAcha ukorofiπππ
Unaji-fool mwenyewe. Nione mweusi mwenzangu ana nywele zilizonyooka hadi mgongoni halafu niamini kuwa ni zake halisi? Wigi ni alama ya kutokujiamini. Ni sawa na wenye mvi wanaoweka die. Ni kutokujiamini pia.π π π nawafool wasionijua kama nina kipilipili
Sawa..Unaji-fool mwenyewe. Nione mweusi mwenzangu ana nywele zilizonyooka hadi mgongoni halafu niamini. Wigi ni alama ya kutokujiamini. Ni sawa na wenye mvi wanaoweka die. Ni kutokujiamini pia.
Sawa..
Wacha tuji-fool β tuji- enjoy wenyeweβ¦
Jamani poleni, na mvumilie π€£Mnanuka sasa. Watu wanalalamika... Mnatuabisha watu weusi wenzenu.