Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
WANAWAKE MNAYOHAKI YA KUDHARAU WANAUME MACHAWA NA WAMBEA WAMBEA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Binti zangu, usione haya wala aibu yaani usijifiche kuonyesha dharau kwa Mwanaume yeyote mwenye tabia za kichawa chawa. Kimbea mbea.
2. Hata kama ni Mimi Babaako, hata kama ni mimi mumeo. Yeyote. Mwanaume yeyote Chawa haustahili kumpa heshima yako wewe kama Mwanamke mrembo, mwenye akili unayejua thamani yako.
3. Usikubali kuwa na Mwanaume Chawa. Mfundishe Good lesson ya jinsi ya kuwa Mwanaume.
4. Baba mtu mzima unaishi kama mwanamke, kujipendekeza pendekeza, kufyata mkia mapajani kama mbwa wa mtaani. Really!
5. Wanawake msikubali. Wanawake wanasingiziwa mambo mengi Sana ikiwemo suala la malezi. Kushindwa kulea watoto wakiume. Kwa kiasi ni ukweli lakini Mwanaume Chawa na mbea mbea usikubali awe mwalimu na mentor wa mtoto wako. Atamharibu tuu mtoto wako
6. Binti za Tibeli na wanawake wa Tibeli hawatoagi heshima zao kwa wanaume wasiostahili.
7. Ni Bora uolewe na maskini kuliko kuolewa na Mwanaume Chawa na Mbea Mbea.
8. Usikubali kubeba mbegu(mimba) ya mwanaume Chawachawa ni bora umbambikie hata kama ni Mimi mumeo nikileta ishu zisizoeleweka. Usinionee huruma.
9. Ninyi wanawake ndio mnajukumu la kubeba mbegu na kuzipitisha katika kizazi kinachofuata.
Mbegu ambazo sio Bora msikubali ziendelee kizazi kinachofuata.
10. Hata wanyama, ndege, Samaki wote wanafanya hivyo.
11. Hiyo inaitwa Role played by Women. Nguvu ya mwanamke.
12. Nguvu ya mwanamke iko maeneo kama hayo. Ninyi ndio mnamaamuzi ya kuamua mbegu gani iendelee kizazi kinachofuata.
Jifunzeni kwa Wanyama kama ubinadamu unawachanganya.
13. Kuendekeza wanaume wajingawajinga kunashusha pia heshima ya Uanamke.
14. Zamani Wanawake walipenda wanaume mashujaa na jasiri. Hii iliwafanya wanaume tangu wakiwa wadogo wajifunze kuwa jasiri, wasio na woga, wakakamavu na shupavu.
Na wanaume waliokuwa legelege walidharauliwa, walikejeliwa, walitengwa, walisutwa na mambo kama hayo.
15. Zamani wanawake walipenda wanaume wachapakazi wenye Utajiri na Mali. Vijana hawakuwa wavivu, walipambana kulima, kufuga, kuvua, kufua vyuma, kuchonga vinyago n.k.
Lakini Siku hizi vipi?
Msicheke na kima. Hakuna huruma hapa.
Mwanaume kama Hana KAZI na hajishughulishi usimuonyeshee meno yako. Hata awe HB kama Watibeli. Usikubali akusogelee.
16. Zamani Wanawake Walikuwa wanawasuta Wanaume wenye tabia za kike kama ushoga, uchawa, umbea umbea, kujipodoapodoa, na vitabia visivyoeleweka.
Siku hizi mnaleta mambo ya ooh Mungu sijui bla blah blah sijui kaumbwa hivyo.
Hakuna cha kuumbwa hivyo.
Hakuna huruma.
Tabia za hovyo hamtakiwi kuzichekea
Watu wanaofanya tabia zisizoeleweka hamtakiwi kuwachekea.
Ni mwendo wa spana, kejeli, dharau, maneno ya shombo, ilimradi wasiishi na wasiwe comfortable
17. Msipofanya hivyo, baadaye ndio mnakuja kulalamika SASA.
Ooh! Wanaume wa Siku hizi hawajui kutunza familia.
Hivi uliwahi kuona mwanaume mwenye tabia za kike akaweza kutunza familia?
Mara ahudumii
Vitoto havina adabu,
Hivi kwa akili yako mtoto wako atamheshimu Baba mbea mbea au mwenye tabia za kichawa. Kuwa serious basi.
18. Mimi Mtibeli ninapozungumza mambo nayaangalia kwa kina chake.
19. Mwalimu wa Mwanaume ni Mwanamke. Na mwalimu wa Mwanamke ni mwanaume.
20. Mnapowaambia wanaume watafute pesa, mkiwawekea vikwazo, mkiwaendekeza wanaume wachapakazi. Mkiwapa nafasi automatically jamii inabadilika.
21. Wanaume nasi tukisema hatuoi wanawake wasio na bikira automatically wanawake hasa mabinti wadogo watatunzwa na Mama zao kwani bidhaa huandaliwa kulingana na soko.
22. Hata ingekuwa Mimi ni mwanamke, ninatunzaje bikira wakati hata wanawake wasio bikira wanaolewa kawaida, wanapata wanaume wa maana, wanaafunga harusi kubwa. Why nijitese.
Hivyo kimahesabu wanawake hawana sababu ya kujitunza bikira zao kwani wateja wao bikira sio muhimu.
23. So unakuja kugundua kijamii. Matatizo ya jamii yanachangiwa na pande zote mbili. Demand and supply
Kufikia hapo sina la ziada
TaikonMaster
Kwa sasa Kitambaa Cheupe, Sinza.