Wanawake mna matatizo gani.? Juzi amesuka nywele, leo anataka kuzifumua

Ukiombwa hela ya kusukia usiwe mwepesi kuituma au kuitoa fasta. Mzungushe kidogo au sana anuneee ndo umpe,nywele zitadumu kwa wiki moja au mbili hivi.

Ukiwa fasta kuitoa hatakua na uchungu nayo maana si atafumua na ATM upo utazitoa nyingine
 
Hivii ndio tabia yake au ndio umemjua saiz, kwaio tangu muanze mausiano leo ndo unampa hela ya kusuka, unaweza kuta umpagi na yeye anakukomeshea umoumo.
 
dah yale yangu ya buku 70 pole mkuu yani kwenye nywele tunaumia sana ikifika uso tunaumia, kiatu nguo dahh mkuu tutafute namna ya kuongeza kipato ili tuwahudumie sasa tunafanya nini zaidi ya hayooo, ila nao wabadilike na wawe na huruma unakuta mtu hatujajenga hata chumba ila tunaombana hela za saloon kila week watoto wa kike mtuonee huruma jamani
 
Usiwe mwepesi kukasirika na kujutia hela uliyotoa.
Hapo kuna ujumbe unapewa indirect.... Kuwa mwanaume hakikisha unajua nini sababu.

Kwa haraka haraka yaweza kuwa kuna kitu umemuudhi sasa hasira yake anaona Hata nywele ulizolipia ni kero. Kumbuka wanawake ni wabahili sana kufumua nywele hadi huwa zinavundia kichwani ( nawasomaga mnavolalamikia mawigi ya wake zenu).

Kama hujamuudhi wewe basi kuna shosti au ndugu yake kamwambia hizo nywele ni mbaya zimekufanya umekuwa kama chakubimbi..... Basi huko alikoenda kusuka hatorudi tena na atazifumua tuu hata kama aliyemwambia alitania.
Kuna dada mmoja alifika kazini jumatatu kasuka wivingi la bambucha, ukiongeza na mekapu alizokoleza usoni, kila mfanyakazi mwenzie alimwambia lake. Kijanammoja akamwambia yaani Salome, hizo nywele kama fagio la chelewa.... Wafanyakazi wengine wakacheka kwanguvu kama utani siku ikaisha.

Kesho yake Salome alifika kazini nywele zimefumuliwa.

Mwisho yawezakuwa msusi alimvuta sana hadi mishipa ya kichwa ikasinama... (Hapa ndo naelewa wanaume wakilalamika kuwa ikisimama muda mrefu wanaumia hehehee).

Mwisho kabisa kama uliona amependeza ila hukumsifia kwa kumwambia basi amejua hujazipenda.

Ubongo wa wanawake unafanya kazi tofauti na kwa namna yake, yahitaji Kuwa mdadisi sana kabla hujafanya maamuzi.

Na akiwa ni mdada anayejali pesa yako, atakaa hata miezi miwili bila kuomba hela ya kusuka, kufidia kuwa angekaa na hizo nywele muda huo kisha aombe hela nyingine ya kusukia.
 
 
imeniuma sana, yn 50 imetumika kwa nothing
 
Hivii ndio tabia yake au ndio umemjua saiz, kwaio tangu muanze mausiano leo ndo unampa ela ya kusuka, unaweza kuta umpagi na yeye anakukomeshea umoumo.
unaongea tuu lkn hujui chcht khs yeye, kwhy unataka nianze kusema kuanzia tulvyoanza uhusiano mpaka now.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…