Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiseme hatuna sema sinaUsawa huu kweli?
Wale waleKwani huwa zinakaa siku ngap kichwani
Vipi lakini. Ushapona lile tatizo lako la hasira na kupenda naniliii kila wakatiChefu
Nauliza zinakaa siku ngapi unarukia tu
Nimemuuliza nipate clarificationUsiseme hatuna sema sina
Vipi lakini. Ushapona lile tatizo lako la hasira na kupenda naniliii kila wakati
Usiwe mwepesi kukasirika na kujutia hela uliyotoa.
Hapo kuna ujumbe unapewa indirect.... Kuwa mwanaume hakikisha unajua nini sababu.
Kwa haraka haraka yaweza kuwa kuna kitu umemuudhi sasa hasira yake anaona Hata nywele ulizolipia ni kero. Kumbuka wanawake ni wabahili sana kufumua nywele hadi huwa zinavundia kichwani ( nawasomaga mnavolalamikia mawigi ya wake zenu).
Kama hujamuudhi wewe basi kuna shosti au ndugu yake kamwambia hizo nywele ni mbaya zimekufanya umekuwa kama chakubimbi..... Basi huko alikoenda kusuka hatorudi tena na atazifumua tuu hata kama aliyemwambia alitania.
Kuna dada mmoja alifika kazini jumatatu kasuka wivingi la bambucha, ukiongeza na mekapu alizokoleza usoni, kila mfanyakazi mwenzie alimwambia lake. Kijanammoja akamwambia yaani Salome, hizo nywele kama fagio la chelewa....
sijajua tatizo ilikuwa n nini mana mtoto alipendeza sana, sasa sms yake ya leo imenfanya ht nisimuulze tatizo n nn
imeniuma sana, yn 50 imetumika kwa nothingdah yale yangu ya buku 70 pole mkuu yani kwenye nywele tunaumia sana ikifika uso tunaumia, kiatu nguo dahh mkuu tutafute namna ya kuongeza kipato ili tuwahudumie sasa tunafanya nini zaidi ya hayooo, ila nao wabadilike na wawe na huruma unakuta mtu hatujajenga hata chumba ila tunaombana hela za saloon kila week watoto wa kike mtuonee huruma jamani
unaongea tuu lkn hujui chcht khs yeye, kwhy unataka nianze kusema kuanzia tulvyoanza uhusiano mpaka now.?Hivii ndio tabia yake au ndio umemjua saiz, kwaio tangu muanze mausiano leo ndo unampa ela ya kusuka, unaweza kuta umpagi na yeye anakukomeshea umoumo.