Hope ameelewa..Btw aliyekwambia ikisimama inauma nani??
Una maneno ww..Kamvinyo hakahusiki leo??Hahahahhahhaaaaa
Babu Asprin ndo huwa ananiambia hivo huku akiwa ameinama na mikono yote ikishikilia maliwato ya mbele kuashiria huduma ya kwanza inahitajika haraka vinginevyo ata rest in peace in no time aahahahahahahhahaaa
Babuuu si wajua shimo huwa halijai..... Nimekumiss sijakuchokoza siku nyingi.... Mwambie Sky apunguze penati Kasie hana madhara hehehehehehehehee
Najizuia kwenda saba tatu, ila miguu ishavaa skuna.... Yote hii mbuzi vuruga....
Najitahidi nijipikilishe ili nisitoke sijui ntaweza...
Una maneno ww..Kamvinyo hakahusiki leo??
Ukiombwa hela ya kusukia usiwe mwepesi kuituma au kuitoa fasta. Mzungushe kidogo au sana anuneee ndo umpe,nywele zitadumu kwa wiki moja au mbili hivi.
Ukiwa fasta kuitoa hatakua na uchungu nayo maana si atafumua na ATM upo utazitoa nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ameokoka siku hizi..Hapendi pesa kabisa
Umeoma like yangu huko?
Ee ila imekuja Thanks
Dah....nywele zina raha yake bana....Ila SIO mawigi[emoji23][emoji23][emoji23]Mpeleke salon akanyor para kwa nguvh akibisha piga chini [emoji6][emoji6][emoji6]
Kuna wakati nilikuwa field nilikaa na pony tail wiki sita, nikiamka asubuhi ninakoleza gel. Wanaume niliokuwa nao field walinikiza unaosha saa ngapi?