Wanawake mna matatizo gani.? Juzi amesuka nywele, leo anataka kuzifumua

Wanawake mna matatizo gani.? Juzi amesuka nywele, leo anataka kuzifumua

Hope ameelewa..Btw aliyekwambia ikisimama inauma nani??

Hahahahhahhaaaaa
Babu Asprin ndo huwa ananiambia hivo huku akiwa ameinama na mikono yote ikishikilia maliwato ya mbele kuashiria huduma ya kwanza inahitajika haraka vinginevyo ata rest in peace in no time aahahahahahahhahaaa

Babuuu si wajua shimo huwa halijai..... Nimekumiss sijakuchokoza siku nyingi.... Mwambie Sky apunguze penati Kasie hana madhara hehehehehehehehee

Najizuia kwenda saba tatu, ila miguu ishavaa skuna.... Yote hii mbuzi vuruga....

Najitahidi nijipikilishe ili nisitoke sijui ntaweza...
 
Una maneno ww..Kamvinyo hakahusiki leo??
 
Una maneno ww..Kamvinyo hakahusiki leo??

Hahahahahahaaaa kamvinyo hata hakahusiki, naweka nafasi ntakagigida siku yangu ikifika.

Leo niko soba kabisa ndo maana najizuia kwenda saba tatu maana nikifika pale na kushiba vuruga basi kamvinyo nako kanakuwa na kihereheree....
 
Umeoma like yangu huko?
Ukiombwa hela ya kusukia usiwe mwepesi kuituma au kuitoa fasta. Mzungushe kidogo au sana anuneee ndo umpe,nywele zitadumu kwa wiki moja au mbili hivi.

Ukiwa fasta kuitoa hatakua na uchungu nayo maana si atafumua na ATM upo utazitoa nyingine
 
Mfungulie biashara awe anaasuka kwa pesa yake anayopata,trust me atanyoa na kudai anataka abadili muonekano,huo ugonjwa nilishautibu kabisa,maana alikuwa anasuka kila wiki nywele za 30,000/= kwa mwezi anatumia 120,000= kusuka tu.
Nikaona isiwe tabu nikamshirikisha idea ya ujasiriamali akasema anaweza nikampa mtaji,Mungu kasaidia mambo yake yanaenda vizuri kwa wiki hakosi laki kama faida hakuchukua muda akanyoa nywele zikabaki tu fupi huwa anasuka mara moja moja na kwa matukio tu,huwezi amini hata akikuomba hela ya nguo ukimpa 80,000/= anaihemea mzigo kwanza faida ikipatikana ndipo ananunua nguo,
Kama una malengo naye fanya hivyo.
 
Me nilisuka ijumaa jana nikatoa wazo lakufumua jicho nililoangaliwa ...wazo likaisha
 
Back
Top Bottom