Na kila mtu ana "digrii" humu!JF hakuna maskini Chifu km vile Watu tunaokutana nao mitaani ni vikatuni[emoji3]
Nimefuta kauli...Babuuuu, vibaya hivyo lakiniii....
Ukinisusia ujue umewapa ushindi (.........) wa kunizengea.
Kwani Mahaba yameshakukifuu.....
Nna kiu na vuruga leo.... Ila iwe na chips dume pembeni halafu iwe lainiiii...... Kama naniiiii.... Hehehehehehehehhee
Mwaaah kwenye laini.....
K' Matata.
Nimefuta kauli...
Nletee mahaba hayo niyababue
..
Hata hivyo nlikuwa natania... nani asusie utamu???
Panua paja mkwaja waja...
Kwani huwa zinakaa siku ngap kichwani
Kwakua ni ushauri wa mwanamke basi ni mzuri kwenye suala hili.Ukiombwa hela ya kusukia usiwe mwepesi kuituma au kuitoa fasta. Mzungushe kidogo au sana anuneee ndo umpe,nywele zitadumu kwa wiki moja au mbili hivi.
Ukiwa fasta kuitoa hatakua na uchungu nayo maana si atafumua na ATM upo utazitoa nyingine
Mwambie aende Salon akanyoe
Ndo mtashirikiana vizuri wewe pita baa kila siku na yeye afumue nywele kila baada ya siku mbilisa hapo hujamuoa, ukimuoa.?
Miezi 06Kwani huwa zinakaa siku ngap kichwani
Muite aje kwako, kisha mpeleke saluni mpige para la maana sana, hatorudia tena kukuomba hela ya kusuka
Kuwa na adabu dada, usije ukarudia tena kulinganisha BIA na vitu vya KipumbavuKwani nyie mkikaa baa pesa ngapi mnazicha kwa siku
Leo hii nywele tu siku mbili tatu kufumuliwa unaona hasara acheni ubinafsi wanaume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Kuwa na adabu dada, usije ukarudia tena kulinganisha BIA na vitu vya Kipumbavu