Wanawake mna matatizo gani.? Juzi amesuka nywele, leo anataka kuzifumua

Wanawake mna matatizo gani.? Juzi amesuka nywele, leo anataka kuzifumua

Babuuuu, vibaya hivyo lakiniii....

Ukinisusia ujue umewapa ushindi (.........) wa kunizengea.

Kwani Mahaba yameshakukifuu.....

Nna kiu na vuruga leo.... Ila iwe na chips dume pembeni halafu iwe lainiiii...... Kama naniiiii.... Hehehehehehehehhee

Mwaaah kwenye laini.....

K' Matata.
Nimefuta kauli...

Nletee mahaba hayo niyababue
..
Hata hivyo nlikuwa natania... nani asusie utamu???

Panua paja mkwaja waja...
 
Nimefuta kauli...

Nletee mahaba hayo niyababue
..
Hata hivyo nlikuwa natania... nani asusie utamu???

Panua paja mkwaja waja...


Hahahahhahaaa babuuu

Andaa mate ya kutosha.... Ooh I mean mkate wa kuzibia shimo la panya hehehehehehehe
 
Sijawahi kaa wiki 3 na nywele,wiki 2 zilizopita nimesuka ijumaa j3 nimefumua msusi alinikosea nilichukiaaa@Kasinde uko sahihi
 
Ukiombwa hela ya kusukia usiwe mwepesi kuituma au kuitoa fasta. Mzungushe kidogo au sana anuneee ndo umpe,nywele zitadumu kwa wiki moja au mbili hivi.

Ukiwa fasta kuitoa hatakua na uchungu nayo maana si atafumua na ATM upo utazitoa nyingine
Kwakua ni ushauri wa mwanamke basi ni mzuri kwenye suala hili.
 
Why do you put a lot of money on the same head that failed mathematics??
 
Mimi kaka yangu wakati huo hakukuwa na saluni anaenda kwa akina mama wenzake, akamkataza kwenda kusuka, mkewe hakusikia.

Siku moja akaamua kumvizia akiwa amelala mchana, akachukua mkasi akazikata nywele kadhaa.

shemeji (mke) alipoamka akakuta nywele hazipo mara moja kaka akamwambia amezikata ili kukomesha tabia yake ya kwenda kusuka.

Mke akaanzisha ugomvi upya kabisa usiotarajiwa, akamuuliza "Eeeheh, umechukua nywele zangu umezipeleka wapi na huko unaenda kuzifanyia nini, utanieleza".

Nakumbuka kesi hiyo ilikuja nymbani iamuliwe ilimshinda mama kuamua na misukosuko ya ndoa ilienda hivyo hatimaye ndani ya miezi sita ikavunjika.


Muite aje kwako, kisha mpeleke saluni mpige para la maana sana, hatorudia tena kukuomba hela ya kusuka
 
Kwani nyie mkikaa baa pesa ngapi mnazicha kwa siku
Leo hii nywele tu siku mbili tatu kufumuliwa unaona hasara acheni ubinafsi wanaume
Kuwa na adabu dada, usije ukarudia tena kulinganisha BIA na vitu vya Kipumbavu
 
Back
Top Bottom