Wanawake mna roho mbaya kama nini, ah!

Wanawake mna roho mbaya kama nini, ah!

Neno linalo faa kwa hiche kizee ni lijinga kweli
 
Uje Kigoma nikupeleke kwa mtaalamu mmoja; yaani pesa zote za box Nyani Ngabu anakubembeleza upokee!

ahsante dada Kaunga yaani atakuja mwenyewe hapa kuanzisha thread aisee sasa naamini kwa nini salia zitto alisema wamjaribu hakuna panya atakayenusurika majumbani mwao.
Ila kweli kama dawa zipo serious nataka nizipate tena nimeghairi si Nyani Ngabu tena ni bakhresa kabisa anipe viwanda vyote na mashamba ya mahindi
baaas vingine nawaachia familia yake ujue mie na huruma sana sina roho mbaya kama mke wa uncle yake mke wake mtoa mada
 
Last edited by a moderator:
Mwanakulitaka mwanakulipata, karamia mchongoma sasa anajihashua akomee..
 
mke alieachwa pamoja na ndugu walivalie njuga hilo tatizo iwe ni kwa maombi ya uhakika au kwa upande wa pili uchawi wa aina hiyo upo jamani pengine hata kamemvuta kwa dawa kutokana na uwezo wake kifedha daah inasikitisha sana
 
Sasa wanawake wana roho mbaya kivipi hapo? Na huyo mke mkubwa wa uncle wenu naye ana roho mbaya ee?
 
Sioni mantiki wala busara kuwahukumu wanawake wote kwa sababu ya upuuuzi wa mwanamke mmoja. Wakati ukiandika hii thread ulifikiri na kugundua kuwa mama bibi shangazi dada binti na wengine ni wanawake? Je wanaume wote wakihukumiwa kwa upuuzi wako utafurahi? Ni utatifi gani umefanya hadi ufikie hitimisho kama hili la ajabu? Jitahidi upunguze lawama ya jumla na ukiweza fanya angalau utafiti ili upate cha kuunga mkono hoja yako. Hapa kweli unaona una hoja au bla bla tu na kutafuta sifa?
Yaani kadada kamemset mzee (uncle wake wife) mpaka amekuwa kama zezeta. Picha kamili ipo hivi. Huyu ni mzee wa heshima kabisa, ni bosi wa taasisi moja nyeti hapa Dar. Siku moja hivi kama mwaka umepita huyo mzee alisepa home, akawa hajulikani alipo. Baadae tukasikia amepanga nyumba sehemu hapahapa Dar anaishi na mwanamke, (yaani kaacha nyumba yake ya kama 600 million, mke waliyeishi wote kama 20 yrs hivi, mtoto mmoja aged 20 na gari 2 ndogo). Huyo mke mpya akawa karibu na ndugu wa mwanaume mpaka alipopata uhakika kwamba mzee harudi tena nyumbani kwake. Akaanza kutimua ndugu mmoja mmoja mpaka akabaki yeye na mdingi tu. Kapewa mtaji anapiga dili za kwenda China kufuata bidhaa. Akisafiri anamwita mamake ndo aje akae na mumewe, ati hataki kumwacha na mtu mwingine. Sijui wanamlisha nini. Mdingi wa watu, yaani ukimwona kama msukule. Yupoyupo tu. Juzijuzi kulikuwa na shughuli ya kiukoo ndugu wakaamua kufanyia kwake, u know what? Eti huyo mother house kafunga vyumba vyote kaacha kimoja tu wazi kwamba wageni wote wa mumewe (wa kike na kiume) watumie hicho, ambacho mdogo wa mumewe amefikia humo! Halafu ndugu zake yeye wote wawili wa kike watumie vyumba 2 vilivyo empty. Walipolalamika, mama (huyo mdada sasa, ambae ni mdogo kwa my wife) kaja juu kishenzi, kwamba amefunga vyumba vingine kwa sababu last week aliibiwa pea ya viatu. Mdingi yupo kimya kama kamwagiwa mtaji, mkewe anadhalilisha ndugu zake wapatao 15, wawili kati yao ni wakubwa zake kisa pea ya viatu sijui vya 50,000. Mshahara wa huyu mzee ni kama 6 million per month. Utu wa mtu kwa pea ya viatu!!!!! Ndugu wakabeba mizigo yao hao wakasepa lakini wakaahidi hawatarudi tena. Mzee kampigia wife wangu simu kujaribu kureconcile (yeye ndio alianzisha kulalamika kuwa hawawezi kudhalilishwa na akataka kumchapa makofi mke wa uncle yake). Sasa mzee wa watu alichoongea hata hakieleweki, inaonekana ndugu anawapenda na dawa zimekolea. Wife hajui amsaidieje uncle wake wakati ndugu wengine wamemsusa mdingi, including mama yake mzazi!!! Tumsaidieje huyu mzee?? Wakati huohuo wadada acheni zenu bana!! Mnakuwaje na roho mbaya kuliko shetani? Ah!
 
Kwa hiyo headline nkategemea kukuta mwanamke kamtesa mtu na kumjerufi sana kama si kumuua......
Bora hata ingesomeka "wanaume acheni uzezeta"
Hamna cha dawa wala nini shughuli ya nyumba ndogo mbona inajulikana!!!!
he he he chezea wali na nyama kilo mbili......
 
taja kabila la kabidada hako......
 
hapo sasa, yani ujinga wa huyo mzee utuhumu wanawake wote!!! mjini shule shamba kilimo!! mwambie arudi kijijini akalime....

kiukweli mwanamke anayekutana na mume wa mtu hatakiwi kumuachia hata senti tano yaani me napenda sana baba aliyetelekeza familia yake akaenda kwa small house apurutwe mikwanja yote abaki mweupe labda zikishaisha ndo atacome to his sense, big up kwa wote wanauchuna waume za watu,
hana mpango nawe jivinjari akija chukua chako mapema arudi kwao na plastic bag
 
akili ya mtu ndio uchawi wake wala hakuna dawa hapo ni ujinga wake tu huyo mzee
 
Yaani kadada
kamemset mzee (uncle wake wife) mpaka amekuwa kama zezeta. Picha kamili
ipo hivi. Huyu ni mzee wa heshima kabisa, ni bosi wa taasisi moja nyeti
hapa Dar. Siku moja hivi kama mwaka umepita huyo mzee alisepa home,
akawa hajulikani alipo. Baadae tukasikia amepanga nyumba sehemu hapahapa
Dar anaishi na mwanamke, (yaani kaacha nyumba yake ya kama 600 million,
mke waliyeishi wote kama 20 yrs hivi, mtoto mmoja aged 20 na gari 2
ndogo). Huyo mke mpya akawa karibu na ndugu wa mwanaume mpaka alipopata
uhakika kwamba mzee harudi tena nyumbani kwake. Akaanza kutimua ndugu
mmoja mmoja mpaka akabaki yeye na mdingi tu. Kapewa mtaji anapiga dili
za kwenda China kufuata bidhaa. Akisafiri anamwita mamake ndo aje akae
na mumewe, ati hataki kumwacha na mtu mwingine. Sijui wanamlisha nini.
Mdingi wa watu, yaani ukimwona kama msukule. Yupoyupo tu. Juzijuzi
kulikuwa na shughuli ya kiukoo ndugu wakaamua kufanyia kwake, u know
what? Eti huyo mother house kafunga vyumba vyote kaacha kimoja tu wazi
kwamba wageni wote wa mumewe (wa kike na kiume) watumie hicho, ambacho
mdogo wa mumewe amefikia humo! Halafu ndugu zake yeye wote wawili wa
kike watumie vyumba 2 vilivyo empty. Walipolalamika, mama (huyo mdada
sasa, ambae ni mdogo kwa my wife) kaja juu kishenzi, kwamba amefunga
vyumba vingine kwa sababu last week aliibiwa pea ya viatu. Mdingi yupo
kimya kama kamwagiwa mtaji, mkewe anadhalilisha ndugu zake wapatao 15,
wawili kati yao ni wakubwa zake kisa pea ya viatu sijui vya 50,000.
Mshahara wa huyu mzee ni kama 6 million per month. Utu wa mtu kwa pea ya
viatu!!!!! Ndugu wakabeba mizigo yao hao wakasepa lakini wakaahidi
hawatarudi tena. Mzee kampigia wife wangu simu kujaribu kureconcile
(yeye ndio alianzisha kulalamika kuwa hawawezi kudhalilishwa na akataka
kumchapa makofi mke wa uncle yake). Sasa mzee wa watu alichoongea hata
hakieleweki, inaonekana ndugu anawapenda na dawa zimekolea. Wife hajui
amsaidieje uncle wake wakati ndugu wengine wamemsusa mdingi, including
mama yake mzazi!!! Tumsaidieje huyu mzee?? Wakati huohuo wadada acheni
zenu bana!! Mnakuwaje na roho mbaya kuliko shetani? Ah!

Mmezidi ninyi nanyi kukosa uaminifu kwa wake zenu,me ukija pande zangu nakugeuza ndodocha,ndo akome kumwacha mkeo..
wanaume wenyewe wachache ninyi,
 
Na hao ndugu waliojipendekeza kwa nyumba ndogo nao wajinga vilevile.
 
Ndio maisha hayo , mapenzi hayana uwiano - mzee kazidiwa na dada anashema
 
Wale watu walipomleta yule mwanamke mzinifu ili ahukumiwe Yesu akasema asiye na dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe kisha aliinama chini na kuandika neno alipoinuka hakuona mtu. sasa mwaulizwa mfanyenje kumnusuru mzee wa watu nyie mwaanza kuponda na kushutumu. Tena wanaume nyie mnathubutu kha!!! Mimi nina kioo changu hapa naona kama mutu tano hivi wana nyumba za pembeni. tatizo la mzee kuhamia na kuitekeleza familia. ushauri; watafutwe wazee wachache wamwone, wamsikie, waseme naye kisha wamshauri cha kufanya huenda naye ana neno litakalosadia kupata ufumbuzi
 
Hilo ndio tatizo la mtu kufanya maamuzi kwa kuongozwa na kile kichwa kidogo, badala ya kutumia kile kichwa kikubwa cha ukweli!.
 
hahahahah mchuma janga hula na wakwao.....
Wale watu walipomleta yule mwanamke mzinifu ili ahukumiwe Yesu akasema asiye na dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe kisha aliinama chini na kuandika neno alipoinuka hakuona mtu. sasa mwaulizwa mfanyenje kumnusuru mzee wa watu nyie mwaanza kuponda na kushutumu. Tena wanaume nyie mnathubutu kha!!! Mimi nina kioo changu hapa naona kama mutu tano hivi wana nyumba za pembeni. tatizo la mzee kuhamia na kuitekeleza familia. ushauri; watafutwe wazee wachache wamwone, wamsikie, waseme naye kisha wamshauri cha kufanya huenda naye ana neno litakalosadia kupata ufumbuzi
 
sio mpaka aende zenji kama logic ni kuvuka maji aende akapandishwe pantoni waende hapo
kigamboni tu kwisha.
 
Nishawahi kusikia kuwa wazee wa makamo ni rahisi kutekwa kimapenzi na kutokomea huko kabisa kumbe ni kweli!
 
huyo mume atarudi tu kwa mkewe.ila asije akapuputishwa.maana huyo mwanamke inaonyesha amemiliki kila kitu.wangeucheza mchezo.wakatafuta hirizi,na majani majani wakayaweka chini ya godoro la huyo mama,baadae wakavitoa wakasema kaviweka huyo mama,ili huyo bwana kidogo azinduke,kabla hajapuputishwa wote
 
huyo mume atarudi tu kwa mkewe.ila asije akapuputishwa.maana huyo mwanamke inaonyesha amemiliki kila kitu.wangeucheza mchezo.wakatafuta hirizi,na majani majani wakayaweka chini ya godoro la huyo mama,baadae wakavitoa wakasema kaviweka huyo mama,ili huyo bwana kidogo azinduke,kabla hajapuputishwa wote

Na wewe uko kama huyo nyumba ndogo?:becky:
 
Back
Top Bottom