Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,198
Hapo umenena shosti, unakuta wababa wazima kujiheshimu hawataki kabisaa, then wakinogewa na kuziba masikio mnawalaumu wanawake. Kwani waliwaita?hapo sasa, yani ujinga wa huyo mzee utuhumu wanawake wote!!! mjini shule shamba kilimo!! mwambie arudi kijijini akalime....