sina maana hiyo NN ila ukweli ngoja nikwambie huwez kumloga mtu usiye mjua na ukweli ni kwamba lazima ujue jina lake na la mama yake basi, huitaj kusema uko wapi na unafanya nn ila nitakwambia uko wapi unafanya nn na una watoto wangapi nk.
jina la mtu ndicho kitu pekee ambacho mtu akikijua anaweza kukulogelezea kirahisi vingine ni vitu ambavyo una contact navyo kama vile makombo ya chakula, nyuzi za nguo, unyayo wako, nywele na kucha. siku zote wanamke akitaka kukuloga vzr atahakikisha umemla mwili wake wote na ni ukweli ndivyo ilivyo. atakulishaje kwa njia ya chakula atakachokupikia.
kwa alyeko mbali ambaye huwez kumpa msosi basi unampigia baruti huko alipo basi hiyo baruti lazima ujue jina la muhusika yote 3 na jina mama yake basi. ikilipuliwa tu na ndegela basi lazima utahamalika na kumtafuta muhusika hata kama humjui. uchawi upo ila ni dhambi sana kumshirikisha Mungu. so si mshauri mtu aujaribu.