Wanawake mna roho ngumu sana

Wanawake huwa wanaamini watu haraka sana sijui kwann, Kuna mmoja nlikutana nae fesibuku aliniamini kupitiliza na hata sura hakua ananijua niliamua tu kuwa muungwana na sikuvunja imani yake kwangu
 
Risk takers

Hata Mimi nashangaa Mtu mnakutana katika daladala anakuchangamkia sana ,unaomba namba then the next unamualika mtaani na Wala hawazi usalama wake unamvua unambinua binua Kama chapati .sad pia na umasikini wa Taifa letu unachanganyia some extent.
 
Kitambo icho kuna mkaka alitoka TA kunifata dar
Mitandao hii hapana [emoji119]
Lakini si ulimpa hicho kitumbua? Tanga na DSM mbona ni karibu tu. Watu wanatoka DSM wanaenda hadi Bukoba kisa papuchi tu.
 
Wanawake huwa wanaamini watu haraka sana sijui kwann, Kuna mmoja nlikutana nae fesibuku aliniamini kupitiliza na hata sura hakua ananijua niliamua tu kuwa muungwana na sikuvunja imani yake kwangu
Asante sana kwa kumuaminisha bro, wanaume ndivyo tulivyo, we always gave protection to the woman.
 
Ukiwaza kwa kutumia akili wanawake tuna moyo mkubwa. Ni ushujaa mtu kutoka Dodoma kwenda Dar anamfata mwanaume aliyechat nae Facebook au wameonana once.
Ladies Kuna award yenu juu ya hili.😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…