Wanawake mna roho ngumu sana

Wanawake mna roho ngumu sana

Wanawake huwa wanaamini watu haraka sana sijui kwann, Kuna mmoja nlikutana nae fesibuku aliniamini kupitiliza na hata sura hakua ananijua niliamua tu kuwa muungwana na sikuvunja imani yake kwangu
 
Risk takers

Hata Mimi nashangaa Mtu mnakutana katika daladala anakuchangamkia sana ,unaomba namba then the next unamualika mtaani na Wala hawazi usalama wake unamvua unambinua binua Kama chapati .sad pia na umasikini wa Taifa letu unachanganyia some extent.
 
Kitambo icho kuna mkaka alitoka TA kunifata dar
Mitandao hii hapana [emoji119]
Lakini si ulimpa hicho kitumbua? Tanga na DSM mbona ni karibu tu. Watu wanatoka DSM wanaenda hadi Bukoba kisa papuchi tu.
 
Wanawake huwa wanaamini watu haraka sana sijui kwann, Kuna mmoja nlikutana nae fesibuku aliniamini kupitiliza na hata sura hakua ananijua niliamua tu kuwa muungwana na sikuvunja imani yake kwangu
Asante sana kwa kumuaminisha bro, wanaume ndivyo tulivyo, we always gave protection to the woman.
 
Ukiwaza kwa kutumia akili wanawake tuna moyo mkubwa. Ni ushujaa mtu kutoka Dodoma kwenda Dar anamfata mwanaume aliyechat nae Facebook au wameonana once.
Ladies Kuna award yenu juu ya hili.😎
 
Yes!, nyinyi ni viumbe wenye roho ngumu na ujasiri mwingi sana.

Tumeonana sikumoja,tukapeana namba,tunapigastori mwezi mzima kwenye simu tu,hunijui kiundani namimi sikujui,tunayajenga alafu nakutumia nauli unasafiri kilometa 451 unakuja Dr es Salam?? wakati huniju vizuri??.

Wajanja watajua hizo kilometa nikutokea wapi.

[emoji1787][emoji1787] Duuh, Mbukwenye, mbuukwe. mnaroho za plastiki.

Natamani kuona mwanamke mmoja anafungua uzi kutupongeza na kutushukuru wanaume kwa uaminifu.
555450_394961837265217_1420578498_n_394961837265217.jpg
 
Back
Top Bottom