Wanawake mna roho ngumu sana

Anatoka hapo
Anatumiwa tena anatua mbeya halafu Mwanza halafu Dodoma halafu Arusha halafu singida halafu halafu halafu ….. mleta mada unajiona mjaanja kumbe loooooofaaa
 
Wapi niliposema nimejiona mjanja mkuu.
Somatena Uzi, nimesema wanawake nimajasiri na wanarohongumu.

That's all.
 
Em nitumie mim hyo nauli.
 
Ushajiuliza wewe unayeita mtu humfahamu akija kukufia ndani kumbe kasahau dawa ya pumu na wewe umemkunja mikao itakuwajee Mkuu?

Utagundua nao hawauwazi huo ujio wao kama hatari, sawa na wewe tu usivyowaza hatari zake.
 
Unatuchukuliaje lakini hadi kutupa story nusu nusu??
 
Ushajiuliza wewe unayeita mtu humfahamu akija kukufia ndani kumbe kasahau dawa ya pumu na wewe umemkunja mikao itakuwajee Mkuu?

Utagundua nao hawauwazi huo ujio wao kama hatari, sawa na wewe tu usivyowaza hatari zake.
Mkuu,ukiwaza sanaizo risk utaishia kugegeda majiranizakotu nandio mwanzo wa kugonganisha magari.
 
Kwa hyo nije napaa[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Duuh, hayo majibu yako siomageni.
Jaribu tu utakavyo weza ufike, sikutumii mpaka nione usowako hapa.
 
Basi siji ngoja niende kwa mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…