Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Makaa paleee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makaa paleee
Wapi niliposema nimejiona mjanja mkuu.Anatoka hapo
Anatumiwa tena anatua mbeya halafu Mwanza halafu Dodoma halafu Arusha halafu singida halafu halafu halafu ….. mleta mada unajiona mjaanja kumbe loooooofaaa
Eti anataka mwanamke mmoja afungue uzi kumpongeza na kumshukuru kwa kuwa mwaminifu[emoji23][emoji23]Acha kulalamika bro unatuaibisha....
hii mada kwanza haina mashiko....Eti anataka mwanamke mmoja afungue uzi kumpongeza na kumshukuru kwa kuwa mwaminifu[emoji23][emoji23]
[emoji23]basi tufanye kama hatujaona[emoji23]hii mada kwanza haina mashiko....
Changamoto wapumbavu wanazeeka pia
Em nitumie mim hyo nauli.Yes!, nyinyi ni viumbe wenye roho ngumu na ujasiri mwingi sana.
Tumeonana sikumoja,tukapeana namba,tunapigastori mwezi mzima kwenye simu tu,hunijui kiundani namimi sikujui,tunayajenga alafu nakutumia nauli unasafiri kilometa 451 unakuja Dr es Salam?? wakati huniju vizuri??.
Wajanja watajua hizo kilometa nikutokea wapi.
[emoji1787][emoji1787] Duuh, Mbukwenye, mbuukwe. mnaroho za plastiki.
Natamani kuona mwanamke mmoja anafungua uzi kutupongeza na kutushukuru wanaume kwa uaminifu.
Kwa hyo nije napaa🤣🤣[emoji1787][emoji1787] nakutumia location nauliyako utaikutauku.
Mkuu,ukiwaza sanaizo risk utaishia kugegeda majiranizakotu nandio mwanzo wa kugonganisha magari.Ushajiuliza wewe unayeita mtu humfahamu akija kukufia ndani kumbe kasahau dawa ya pumu na wewe umemkunja mikao itakuwajee Mkuu?
Utagundua nao hawauwazi huo ujio wao kama hatari, sawa na wewe tu usivyowaza hatari zake.
Basi siji ngoja niende kwa mwingine.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Duuh, hayo majibu yako siomageni.
Jaribu tu utakavyo weza ufike, sikutumii mpaka nione usowako hapa.